Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa...
21 Reactions
146 Replies
5K Views
Nimejiuliza swali hilo kila mara. Nini kinasababisha Aluminium furnitures kuwa ghali sana. My observation ni kuwa they are not labour intensive...ni kata unganisha kirahisi and all is done! Au...
5 Reactions
103 Replies
2K Views
Al-Baqarah 2:183 يَآأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ كُتِبَ عَلَيۡكُمُ ٱلصِّيَامُ كَمَا كُتِبَ عَلَى ٱلَّذِينَ مِن قَبۡلِكُمۡ لَعَلَّكُمۡ تَتَّقُونَ Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Tangu nifike Mtwara miezi kadhaa iliyopita, mambo ninayokutana nayo sikuyategemea kabisa. Picha inaanza wakati nakuja kuripoti, ile nafika bus stand ya Mkanaredi naambiwa hapa ndiyo Manispaa ya...
51 Reactions
547 Replies
10K Views
“Everyday” wa Phil Collins Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993...
5 Reactions
11 Replies
374 Views
Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji. Yohana 1:1-3 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika...
13 Reactions
152 Replies
2K Views
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili. Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
19 Reactions
56 Replies
926 Views
Maana ya Niyyah na Mahali Pake Sahihi Niyyah ni kusudio la  ibada ambalo hutokea ndani ya moyo. Haihitaji kutamkwa kwa ulimi kwa sababu ni jambo la ndani ya nafsi. Mtume ﷺ na Maswahaba wake...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Salaam nyingi za za upendo kwenu wote. Aprili 12, kila mwaka ni Siku ya Mtoto wa Mtaani Duniani. Kaulimbiu Mwaka huu ni ‘TUWAJIBIKE’. Uwajibikaji uanze ngazi ya familia kwa wazazi/ walezi...
7 Reactions
17 Replies
688 Views
Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate. Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha. Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho...
30 Reactions
107 Replies
3K Views
Kila siku ni habari njema yaani zinawaumiza na kuwatesa sana Haters wa Samia sana ila ndio hivyo tena usiyempenda amekuja https://www.instagram.com/reel/DGqLKNEoYqd/?igsh=aTdnZDN1YjE2dXNs My...
0 Reactions
10 Replies
265 Views
𝗟𝗘𝗢 𝗦𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗭𝗜𝗟𝗘 𝗦𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗜𝗧𝗔𝗢𝗡𝗘𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗨𝗧𝗔𝗭𝗜𝗢𝗡𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗗𝗜 𝟮𝟬𝟰𝟬 😉 Kama ulikua na hamu ya kuziona Sayari zile saba zikijipanga kwenye mstari mmoja mnyoofu basi Leo ndo itakua...
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Marekani ingeweza kuivamia Afrika vipi? Ni mikakati gani ambayo Afrika ingeweza kutumia kujilinda? Na gharama ya vita hivi ingekuwa kiasi gani? Katika uchambuzi huu, tunachunguza hatua kwa hatua...
0 Reactions
2 Replies
177 Views
Habari Wana JF,Leo ni tarehe 01_03_2025 Siku ya Jumamosi, Kwa wale Wasabato niwatakie Sabato Njema. Nilimsikiliza mwanahistoria mmoja,nae aliniambia hivi,hapo zamani siku zilihesabiwa kuanzia...
0 Reactions
5 Replies
129 Views
BASHUNGWA: MWANANCHI KUPATA KITAMBULISHO CHA NIDA NDANI YA SIKU 14 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza mkakati wa Serikali ni kuhakikisha Mwananchi anapata Kitambulisho...
0 Reactions
12 Replies
282 Views
Habari za muda huu ndugu zangu wa jamii forum, Watu (Wananchi ) wamekuwa wakilalamika juu ya hadha (usumbufu) wakati wakifuatilia juu ya kubadili majina Yao yalikosewa NIDA . Kitu cha kwanza...
18 Reactions
74 Replies
12K Views
Nimeulizwa sana kwenye nyuzi, ngoja leo niwasimulie. Jan 16, 2025 alinipigia simu ndugu yangu mmoja akasema anataka tuonanae. Nikamkaribisha nyumbani, akaja na akaanza kunielezea shida yake...
35 Reactions
117 Replies
3K Views
Salaam wanajamvi! Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni. Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St...
13 Reactions
125 Replies
3K Views
Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi...
19 Reactions
95 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…