Napenda kufahamu Gavana balali na mafisadi wenzake mnampango nao gani? mpaka sasa hivi sababu tunaona wahusika hawapo na viongozi mnakaa kimya au ile ilikuwa ni mikwala tunaomba mlifanyie kazi...
If we sent millitary to Comorro, and Ari Mpya of AU is to show the world that Africans are committed to peace and democracy, will AU send special forces as peacekeepers in Zimbabwe since it is a...
...wakati wao ndiyo waliowaleta hawa "wachukuaji"
Kitimtim TRL makao makuu
2008-04-05 09:38:18
Na Raymond Kaminyoge
Zaidi ya abiria 100 wa Shirika la Reli Nchini (TRL) ambao walikata...
Hivi tuna akili timamu au ndio kufikiri tunaweza sana? Hivi wanaweza kuikatia maji Ikulu? Hivi serikali yetu tukutu/fu imeshindwa kupata "tu"shilingi milioni 276 mahali "fulani" wakati waliweza...
Kuna Baadi Ya Watu Utakuta Unamwambia Kuwa Usifanye Jambo Fulani Lakini Wanakuwa Wabishi Vibaya Sana
Mfano Mzuri Ni Katka Internet, Mtu Anaweza Akakueleza Muda Wako Umeisha But Mtu Unae...
kwa kiwango fulani navutiwa na mapambano ya kunadi sera na mikakati ya kisiasa inayoendelea nchini Marekani katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.
Lakini wanasiasa zetu huwa...
Kwa mtaji huu sasa naona mwisho wa mchezo wa Bank Statement za kununua umewadia....
UK visa defaulters to get 10-year ban
GODFREY OBONYO
Daily News On Saturday; Friday,April 04, 2008 @18:02...
Kuwaruhusu wanafunzi waliokwisha jifungua(wamekuwa akina mama kufikia hapo)kujumuika na wanafunzi ambao bado hawajafikia kuwa wazazi kujichanganya na kusoma kwa pamoja inakuwa sawa...
Hivi wenye maduka ya misosi ya kibongo kupitia Bakhressa, kuna mayai ya kienyeji? Mimi haya mayai ya Sainsbury sijui Asda yanaharibu tu ulimi hamna ladha tumbo kuvimba. Mimi nataka mayai ya...
Habari zilizotufikia hivi punde ndege aina ya sessna imeanguka
uwanja wa ndege wa mwanza muda si mrefu na kuua watu wote na hakuna aliepona,,katika ndege hiyo kulikuwapo watanzania na...
habari ambazo nilizozipata, inahofiwa kuwa zaidi ya watanzania mia moja wamefukiwa katika machimbo ya mererani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini
Former Nigerian President Olusegun Obasanjo is under a wave of criticism for the conduct of his administration, which came to an end last May.
But in a court in Lagos, he is accused of a very...
BALOZI wa Uholanzi nchini, Bw. Karel van Kesteren, amewataka Watanzania kuachana na dhana kwamba watachimba utajiri kutoka ardhini kupitia sekta ya madini.
Akizungumza kwenye ufunguzi wa...
utakuta baadhi ya wafanya biashara za madini wanawapatia vijana wetu fedha za kujikimu na kuishia kuwapa offer za pombe badaala ya kuwasaidia ili waweze kutimiza malengo
Na wengine kufanya...
Nimebahatika kukutana na wanasiasa wetu kadhaa (chama tawala na upinzani) na nasikitika kubreak hii taboo ya kutosema lakini ukweli ni kuwa:
-WENGI WAO NI WACHAFU
-WANANUKA
-HAWAVAI VIZURI...
Sitamani kuwa na Rais kama Mh JK .Sitamani !
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimefunga ndoa na mafisadi kwa kukataa kupokea ushauri wa kuwafukuza kutoka chama hicho.
Taarifa iliyotolewa...
Anger...
LONDON, England (AP) -- Supermodel Naomi Campbell has been arrested at Heathrow Airport's Terminal 5 for allegedly spitting at a police officer, Sky News television reported Thursday...
Habari hii inasikitisha sana na nadhani kuna haja Bunge letu lifanye marekebisho ya sheria ya kujamihiana kwani imekuwa ni kawaida kwa akina mama kusingizia kubakwa wakati si kweli: Kwa habari za...
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Stephen Wasira, akizungumza na waandishi wa habari alipotoa ripoti ya uchunguzi na maamuzi ya serikali kuhusu wakazi wa eneo la Tabata Dampo...