Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba amesema kwamba wanakusudia kufanikisha kupandisha wiano wa vitabu vya kiada ili kufikia kitabu kimoja kwa mwanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kwamba serikali imeendelea kuhakikisha huduma za upatikanaji wa dawa (ARV) za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI zinaendelea kupatikana bila...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Kalibuni fans wangu wote
2 Reactions
0 Replies
81 Views
TAARIFA YA UFUNGAJI WA CCTV CAMERA Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mwaka wa fedha 2024/2025 ilitenga fedha kwa ajili ya ufungaji wa CCTV Camera katika barabara na maeneo ya Kariakoo...
0 Reactions
2 Replies
436 Views
Kwenu mnaomuelewa
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, niruhusu niingie moja kwa moja kwenye mada husika. Hata hivyo, nataka kuwashukuru wale wote wanaochangia katika kuleta mawazo ya maendeleo, hata kama wewe ni mfanyabiashara...
7 Reactions
19 Replies
352 Views
Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa...
0 Reactions
1 Replies
84 Views
Niliwahi kuweka uzi hapa mwezi uliopita nikilalamika kumtumia mwanamke nauli ya VPI GO and Return kutoka mwanza kwa makusudi akaja hadi Dar alfu akaniambia ameanza period tokea jana nikajiuliza...
1 Reactions
3 Replies
198 Views
Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri. Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena...
3 Reactions
14 Replies
395 Views
Kukubali ukoo mzima kuishi ktk umaskini ni sawa na kukubali kuutoa kafara ukoo mzima. Ndiyo! Umaskini ni ugonjwa. Mkiwa maskini mtakufa kwa magonjwa, stress au mtauana kwa kugombania vitu vidogo...
13 Reactions
103 Replies
2K Views
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima...
95 Reactions
204 Replies
18K Views
Siku za hivi karibuni kumeibuka mabishano makali kuhusu kusomesha mtoto St Kayumba (Govt schools) au English Medium (Private school). Upande wa St Kayumba wana hoja na hata wa Private pia wana...
6 Reactions
12 Replies
244 Views
  • Redirect
LBL vs FIC 🤔
1 Reactions
Replies
Views
Yesu alipofufuka kutoka wafu aliwatokea wanafunzi wake kabla ya kupaa kwenda mbinguni. Mmoja wa wanafunzi hao aliitwa Tomaso. Wakati anawatokea, Tomaso hakuamini maneno ya Yesu hadi...
13 Reactions
73 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wapendwa! Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo...
5 Reactions
79 Replies
9K Views
Wakuu matukio ya watu kuendelea kupotea yanazidi kuendelea Mfanyabiashara wa Spea maeneo ya Tabata Dampo Dar es salaam aitwae Boaz Nyimbo anatafutwa na Ndugu, Jamaa na Marafiki baada ya kupotea...
1 Reactions
3 Replies
280 Views
Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Hii kitu inanishangaza SANA huwa inasababishwa na njaa au ni ugonjwa yaani mtu akiishakuwa mwanachama wa ccm basi hupoteza kabisa uwezo wake wa kufikiri au muda mwingine huanza kuongea upumbavu au...
4 Reactions
31 Replies
518 Views
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua. Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae...
21 Reactions
145 Replies
4K Views
  • Redirect
Wakazi wa Bongi, Handeni walikua wanashida ya maji iliokua ikiwalazima wamama kutembea umbali wa kilomita 3 mpaka 4 ili kufuata maji. Rais Samia, kama rais wa nchi na kama mama amekua mstari wa...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…