TAARIFA KWA UMMA
MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA
UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES
SALAAM
Jumatano, 19 Februari 2025
Shirika la Umeme Tanzania...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aitwaye Barke Rashid, aliyeuawa Januari Mosi, 2022, akiwa guest maeneo ya Tabata, ambapo...
Nchi yangu Tanzania imejaa fursa nyingi ambazo bado hazijachunguzwa kikamilifu. Kutokana na rasilimali tulizonazo, kuna maeneo mengi ambapo fursa zinaweza kupatikana, kutoka kwa kilimo, nishati...
Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza...
HABARI WANA NDUGU
NINEANDIKA HUKU BAADA YA KUSHAURI HII TV WAONDOE HILO TANGAZO
TANGAZO LIKO HIVI
ANATOKEA MWL WAO ANASEMA INAKUPA NN MWANAO KUFAULU KWENDA FORM FIVE BILA KUWA NA NIDHAMU...
Imagine leo nimezunguka hadi Shuu Butchers zote hakuna nyama ya mbuzi. Nimezunguka kwenye Bucha zote za MBASHA Meat Supply kote hakuna nyama ya mbuzi. Hadi MBASHA Butcher Meat Suppy ya pale...
Kuna mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe.
Nianze kwa ku declare interest.
Am neither a Christian nor a Muslim.
Mimi sio Mkristu wala si muislamu.
Ingawa nimezaliwa...
Peace be upon you Wana JF
Hakuna kitu kizuri kama kushukuru, kusifu na kukubali karama waliyonayo wenzako. Naongea hili Kwa maana ni tatizo kubwa hapa kwetu nikimaanisha kwenye tasnia mbalimbali...
Jua kali & joto kali huleta stress.
Na hii ni kwa sababu, wanasayansi wanasema : 👇👇👇👇👇👇
Excessive heat from the sun alters serotonin levels in the brain , which is a neurotransmitter linked to...
Serikali kupitia mamlaka husika hasa mipango miji, ingepunguza au kuweka idadi kamili ya wakazi katika mkoa wa Dar es Salaam.
Dar es Salaam watu wamerundikana sehemu moja kuanzia makazi hadi...
Naomba uzi huu uwe natija kwa wote watakao itaji huduma kutoka kilingeni. Na wale ambao wataleta habari sijui za yesu, Mungu na wengine mara sijui nini, huu uzi sio wao maana hayajawakuta...
HERI YA MWAKA MPYA 2025
aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90
sooon...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi...
Nimefika Accra, Ghana Jana (jumanne, tarehe 27/08/2024) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani.
Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote...