Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na...
1 Reactions
1 Replies
99 Views
Tu share madini kidogo wadau: Nidhamu kali ni jambo muhimu katika maisha ya kila siku, hasa kwa watu wanaotaka kufikia malengo yao kwa mafanikio. Ikiwa unataka kuwa na nidhamu kali kama wanajeshi...
1 Reactions
11 Replies
300 Views
GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku...
1 Reactions
2 Replies
154 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), katika kusimiamia utekelezaji wa ujenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
  • Redirect
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika...
0 Reactions
Replies
Views
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji...
0 Reactions
2 Replies
188 Views
Utafiti wa The Kennel Club unaonyesha asilimia kubwa ya wanawake walio-single wanapendelea urafiki wao mkubwa na Mbwa kuliko kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume. Kwa mujibu huo wa The...
1 Reactions
4 Replies
141 Views
Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkoa wa Morogoro umezindua kampeni ya Jisomeshe na Mkarafuu, kampeni ambayo inawahusu wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Kampeni hiyo imezinduliwa katika kata ya Mkuyuni, Morogoro...
1 Reactions
0 Replies
86 Views
Huu ni msemo maarufu pale wapendwa wetu hasa ktk wanasiasa wanapotangulia mbele ya haki. Marafiki huja na neno la faraja la "Mwendo Umeumaliza, Iman Imeilinda" Kauli hii Kwangu inamaanisha kuwa...
3 Reactions
10 Replies
303 Views
Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu. So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza...
1 Reactions
6 Replies
134 Views
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye...
6 Reactions
11 Replies
405 Views
DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
NJOMBE: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo ameliagiza Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kukamilisha majadiliano na Mwekezaji wa Mradi wa Makaa ya Mawe Ketawaka Kampuni ya MM Steel...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha ametoa siku moja kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Shani Mdamu ahakikishe kukamatwa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
110 Views
Shule moja inaitwa Center for Education Plus Darasa la 4 miaka 9 wanakalishwa shuleni mpaka saa 11 Jumatatu mpaka Jumamosi wanafika nyumbani saa 1 usiku. Huyu mtoto anasoma nini?. Ubongo wake...
5 Reactions
16 Replies
357 Views
"Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Hivi mbona swali hili sijawahi kupata majibu yaliyonyooka? Ni kwa nini watu hawa wanatukana sana katika baadhi ya mazingira yao ya kazi? TANESCO (WAKIWA SITE) WANAJESHI (KWENYE OPERATION NA...
2 Reactions
2 Replies
157 Views
  • Redirect
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…