Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya...
Wana jukwaa, naomba ushauri.
Mwanangu wa mwaka 1 na nusu kila akilia anakauka mpaka anazimia, na hali hii imekuwa ikijirudia kila anapolia kabla ya kurudi katika hali ya kawaida. Kwa kifupi...
Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati...
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine...
Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni...
Nafanya japo sio kwa 100%
Nafanya photographer
Nachora
Nafanya Sanaa za za mabox
Fundi vifaa vya electronics
Software za simu na
Hardware
Hivi vyote nimefanya na baadhi ndo paka Sasa vinaniweka...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Mkoa wa Dar es Salaam ni wa kipekee katika ukusanyaji wa mapato nchini.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Dar es Salaam juzi usiku wakati...
Mimi binafsi napotaka kuagiza gari, nachukua details za ile gari halafu nakuja kukadiria bei ya ushuru kupitia Calculator ya TRA, tuseme napata Mil 12,355,000 kama ushuru.
Unaagiza gari baada ya...
Ukienda kwenye vilinge vya waganga wa kienyeji, vibaraza vya maostaz, na makanisa ya mitume na manabii utakutana na idadi kubwa sana ya watanzania wanaenda kusafisha, kupandisha, kufufua, kufungua...
Wakuu Habarini...
Wakati Hii Redio Inakuja, Ilianza Kwa Kishindo Sana Na Wengi Tukafurahi Kwamba Sasa Tunapata Uwanda Mpana Wa Kupata Habari Toka Vyanzo Na Redio Mbalimbali.
Ila Kuna Mbinu...
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali na waharibifu na...
Ikumbukwe taasisi nyingi za serikali ziko Dodoma na wengine wamelazimishwa kuhama wakiwa hawana hata majengo, sasa huyu mpigaji Nehemia Kyando Mchechu anapata wapi uhalali wa kuhamia Morocco...
Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii.
Ifakara iko kijanja zaidi.
Ni hayo tu
Wajibu wa Waumini Kuhudumia na Kuwategemeza Watumishi wa Mungu
Utumishi wa Mungu ni Nini
Utumishi ni hali ya kutii na kuitumikia mamlaka au mtu mwenye mamlaka fulani na ambaye unamwamini na...
L
Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya
Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine
Sheria ya uchawi inasema 👇👇
Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila...
Msaada wa haraka tafadhali!
Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k.
Majina yanayobadilishwa ni...
1: Kukutana kimwili na mdada ambae ni bikra OG pale utakapo mmoa. Hadi wanaandika nyuzi humu namna ya kumtambua mdada alie bikra kitandani😂
2: Kula Kuku na mayai ya kienyeji
3: Kwamba kuna...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya...