Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ukiwa kwenye chombo cha usafiri hasa haic za mijini na bajaji kwenye matuta wanakuwa wavivu kupunguza mwendo na kupanguwa gia.wanapita kama wamebeba roba za mahindi huo si udereva muone aibu tena...
3 Reactions
6 Replies
181 Views
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
Wote tunaona jinsi mataifa madogo madogo yenye rasilimali chache yanavyofanikiwa kutokana na mipango bora ya usimamizi. Hali hii inajidhihirisha pia kwa Kigamboni, ambalo linabarikiwa na ufukwe...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) tarehe 16 Februari, 2025 iliandaa Mahafali ya Tatu (3) ya kuwapongeza Wanafunzi waliofaulu...
4 Reactions
8 Replies
312 Views
Ndugu zangu Ni dhahiri kwamba ongezeko la wanawake wanaolea watoto peke yao limekuwa changamoto kubwa katika jamii nyingi za Kiafrika. Hali hii inatokana na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Tv imepiga shoti, Radio imeungua, Simu imeasti, n.k. Kata washa - unaweza kuhisi kuna mtoto kaachwa anachezea swichi, umeme unarudi na kuwaka mara kwa mara Umeme kufifia - umeme unakuwa mdogo na...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
Katika jamii yetu ya Kitanzania, suala la mahusiano linabeba uzito mkubwa, hasa linapohusiana na wanawake wanaolea watoto peke yao – single mothers. Ingawa mara nyingi mjadala huu huangaliwa kwa...
3 Reactions
6 Replies
403 Views
1: Kwa maana hana uganga wowote ni utapeli tu. 2: Kwa maana maagano yake hayamruhusu kujiganga 3: Anaogopa matokeo ya uganga huo kama akijisaidia binafsi
1 Reactions
5 Replies
131 Views
Nimekuja kwenu kama kuna mtu anajua vitabu vizuri vya hisa, hati fungani na zile indices za agriculture ili nianze kujifunza vizuri. Nawasilisha kwenu na naomba unipe hivyo vtabu
3 Reactions
2 Replies
152 Views
Mambo vipi wakuu, kwema? Kuna mchongo wa kuzamia Hispania au Italy kusaka maisha (kwa wale wanaopenda kwenda abroad either kusoma, kutafuta kazi.) Hasa Spain ndo uhakika zaidi ila changamoto...
3 Reactions
69 Replies
9K Views
Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka...
14 Reactions
61 Replies
1K Views
Wakuu. Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Dalili za mtu mwenye laana hizi hapa. Una wazazi Ila hauwajali ,wapo wanateseka Ila wewe umebarikiwa uchumi mzuri Ila unakausha this is curse. Unatumia nguvu kubwa kupata riziki hasa ya kula...
8 Reactions
25 Replies
596 Views
  • Redirect
Napenda dini ya waislamu hawana mzaha au utani na Imani ya dini ya kiislamu. Leo tarehe 17/2/2025 Mtu wakwanza kutaangaza kua gay Imamu Muhsin Hendrick mwenye umri wa miaka 57 kauliwa kwa...
1 Reactions
Replies
Views
Usaili wa walimu unaoendelea Tanzania ni kizungumkuti kwa sababu ya hoja mbalimbali kama zifuatazo; 1. Usaili sio wa haki na usawa kwa sabab unajumuisha wasailiwa wa miaka yote tokea 2015. 2...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Ukitazama hii video utaona maajabu Makubwa Sana . Mtoto unampeleka polini analala nje . Mvua na jua yote yake Unamwambia aangalie Ng'ombe na Mbuzi. Anatembea na Miguu kilometers 7 kwenda...
3 Reactions
4 Replies
131 Views
Wasalam Mheshimiwa Mbuge wetu. Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza bila kinyongo Wala kijicho Cha aina yoyote. Mheshimiwa Mbuge Ndg Hussein Ammar kassu Kwa miaka karibia 20 sasa tulikupa...
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka Wahandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kusimama miradi yote kwa ubora unaotakiwa kulingana na thamani ya fedha zinazotolewa na...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…