Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (kwa Vice, Mnadani).
Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo...
Jengo la TRA Mnazi Mmoja barabara ya Kipata na Lumumba linateketea kwa moto muda huu
==============
Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo -...
RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA
Watu Takribani Bilioni 2.4 Duniani Hawatumii Nishati Safi ya Kupikia, Duniani kwasasa kuna Watu Zaidi ya Bilioni Saba (7)
Taasisi...
Habari za Asubuhi. Twende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Serikali kipindi Cha JPM na Kikwete waliwekeza sana kwenye kuboresha mifumo ya TEHAMA, foleni kwenye maofisi ya serikali, Hospitalini...
Dar es Salaam, Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimetoa msaada wa mashine za kusaidia upumuaji kwa watoto wachanga ambao hupata matatizo ya kupumua mara baada ya kuzaliwa. Msaada huo, uliotolewa...
Takribani miaka 40 iliyopita...alipata kutokea tajiri mmoja aliyekuwa anamiliki malori.
Kama kawaida madereva tupo wa kila namna chini ya jua....sasa kuna mzee mmoja alikuwa anaogopewa na kila...
Mbunge Jumanne Kishimba, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Elimu ya Juu, ametoa maoni yake Bungeni kuhusu hali ya mikopo ya elimu nchini. Maoni hayo yalikuja baada ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa...
Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo...
Lori lililoparamia Watu usiku wa kuamkia leo February 14,2025 Kimara Stop Over Jijini Dar es salaaam na kusababisha vifo vya Watu watatu, limeondolewa eneo la tukio huku Madereva bodaboda wa eneo...
Mimi kama mdau wa maendeleo kwa ujumla, naleta kwenu kero ya muda mrefu. Yapata miaka 20 sasa.
Tangu shule ya msingi Nyamuti iliyoko walaya ya Buhigwe kata ya Buhigwe kijiji cha Mlela mtaa wa...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na uwezo...
Wakuu wazima?
Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani...
Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa...
Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni...
Hello
Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu.
Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB. Yaani nilikuwa...
Ukiachana na sababu kuwa ni lugha ya peponi. Kuna sababu zingine lukuki za kujifunza lugha hii tukufu, kama zifuatazo.
أولًا وقبل كل شيء، تعتبر اللغة العربية لغة قرآنية، وهو الكتاب المقدس في...
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019.
Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip
Soma pia: - Mama Mzazi wa Erick...
Nasema kwamba dar es salaam hakuna waganga Kuna wafanya biashara na matapeli
Waganga wapo Huko vichakani vijijini ambao hawataki pesa mana wanaishi kwa kilimo na ufugaji
Laki moja kijijini ni...