Kabla ya ujio wa Julian calendar 46 BC watu wa zamani walikuwa wanatumia calendar ipi?
Miaka ilikuwa inahesabiwa vipi enzi za Biblia ya agano la kale?
Walioishi miaka 900 ni kwa kutumia calendar...
Ogopeni sana watu wanaojitangaza hasa mitandaoni kwamba wamefanikiwa kwenye hili ama lile.. Wale ambao hujitangaza kwa kujifanya ni 'motivational speakers'
Wakijifanya kuwatia moto wengine...
Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka.
Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi...
Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna...
Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu.
Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya...
CHANZO CHA LAANA YA WATU WA UKOO WENU KUFA MAPEMA KABLA YA UZEE. UKOO WENU KUKOSA WAZEE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna baadhi ya familia au koo ni Jambo la kawaida watu Kufa kabla ya...
Baadhi najua wanafahamu kisonono ninini... Huu ni ugonjwa wa zinaa unaoathiri sehemu za siri.. Ni dugu moja na kaswende na gono.. Ni magonjwa ya aibu na baadhi hujitibia kwa siri.. UTI ni gono...
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama alitaka Baraza la watumishi wa Wizara ya Afya na Taasisi zake mijadala yao ilenge kuleta tija na ufanisi ili kuendelea kuinua sekta ya afya nchini.
Waziri wa...
Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kuhani Zangina S Zangina, kipindi cha Uandikishaji Wananchi katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura 2025 alitembelea maeneo mbalimbali ya...
Dini zimekuwa zikitumia kifo kama dhana ya kutisha toka na ujinga na ujanja ujanja wa kutaka kuwatisha ili kuwatawala na kuwaibia waumini. Mara utaingia motoni, mara peponi. Nani amewahi kwenda...
Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara...
Leo nimekuja kuipa Kongole Hospitali ya Rufaa kanda ya ziwa Bugando hususani kwenye idara ya kijamii na huduma nje ya mfumo wa matibabu, Hapa nazungumzia Huduma rafiki, safi, salama na nafuu ya...
Ndugu wana JF,
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na...
Wakubwa shikamooni,
Mdogo wenu hapa JF ninaomba msaada kwa mwenye ufahamu juu ya Taifa la New zealand, utaratibu wao wa viza, kama kuna changamoto za uingiaji na kama kuna mianya ya kuitumia ili...
Wakuu wangu mambo yamekuwa magumu sana nami naamua kuachika,
Mpaka sasa nimesha jenga nina biashara lakin imedorora sana, mpaka nimeifunga,
Nimeamua kwamba sasa hii 5,600,000 niliyonayo niende...