Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya, ameonesha masikitiko yake bungeni baada ya kuuliza swali mara tano kuhusu changamoto ya upungufu wa wodi katika Kituo cha Afya Kiyagara, bila...
0 Reactions
0 Replies
129 Views
Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa...
15 Reactions
95 Replies
2K Views
Mkuu wa zamani wa jeshi la Rwanda na Waziri wa Usalama wa Ndani Jenerali Patrick Nyamvumba amewasilisha hati zake za utambulisho wa kidiplomasia leo kama Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania...
2 Reactions
13 Replies
937 Views
Mpaka mwisho wa hii dunia hatutapata suluhisho; unless igunduliwe chanjo au dawa. Kinyime cha hapo dawa ni hiyo niliyowapa, ila mpango huu unahitaji ujasiri kuufanikisha, Rais legelege hatoweza...
7 Reactions
117 Replies
11K Views
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimesikia na kuona ugonjwa wa kipindupindu kushamiri wakati au majira haya ya kiangazi. Hahahahahahahaha, kwanza inachekesha, lakini pia inahuzunisha...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao...
1 Reactions
6 Replies
344 Views
Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika. Meneja umetulia ofisini una sign posho...
5 Reactions
23 Replies
628 Views
Sijawahi kueleww lengo la kuweka kalamu kwenye boxer! Lengo ni nini hasa?
2 Reactions
18 Replies
411 Views
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda ya hospitali maalum zilizotengwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)...
1 Reactions
2 Replies
178 Views
𝗝𝗔𝗣𝗔𝗑 π—œπ— π—˜π—₯𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 π—ͺπ—”π—§π—”π—™π—œπ—§π—œ π—žπ—¨π—¨π— π—•π—” π—•π—œπ—‘π—”π——π—”π— π—¨ Dunia na maajabu yake!! πŸ‘‹ Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu. Mfumo huo...
2 Reactions
26 Replies
719 Views
Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amewataka Vijana kutotumia fedha wanazokopeshwa na Halmashauri kulipia mahari badala yake wafanyie shughuli za maendeleo akieleza kuwa Wanawake wamekuwa...
0 Reactions
2 Replies
125 Views
DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
1 Reactions
4 Replies
166 Views
β–ͺ️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini β–ͺ️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030 Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Mhe Amina Mohamed ameipongeza...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo. Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama...
7 Reactions
13 Replies
391 Views
Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu wamepokea taarifa wataiwasilisha sehemu husika inaishia hapo, ukipiga tena wanakuuliza taarifa mpya kabisa...
4 Reactions
27 Replies
897 Views
Tatizo la maji lilikuwepo kwa muda mrefu baadaye mwezi wa 6 yakarejea yakawa yanatoka kwa wiki mara moja, sasa ni mwezi na siku bila hata tone shida nini? DAWASA mbona mnapenda kutuvuruga akili...
2 Reactions
3 Replies
272 Views
Anonymous
Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala...
1 Reactions
5 Replies
425 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…