REMEMBER YOUR AGE GROUP TODAY IN THIS YEAR 2024
OVERTIME AGE
1924 - 100 years
1925 - 99 years
1926 - 98 years
1927 - 97 years
1928 - 96 years
1929 - 95 years
1930 - 94 years
1931 - 93...
Ni elimu ndiyo itaifungua nchi yetu kutoka kifungo cha ujinga na umaskini
Ni elimu ndiyo msingi wa maisha na maendeleo
Ni elimu ndilo chimbuko la viongozi weledi na wenye mafanikio nchini...
Makala iliyochapishwa na Watetezi Tv inamuonesha Mwananchi huyo Athuman Mohammed Zuberi (46) na baadhi ya wanafamilia wakieleza madai mbalimbali wanayodai kukumbana nayo.👇...
Ndugu wanajamvi,
Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa...
Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032.
Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year...
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na...
Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe, amewapigia magoti Wananchi wa Vijiji vya Msikiii na Munkhola katika Wilaya hiyo ikiwa ni msisitizo wa kuwaomba waondoke katika eneo walilovamia la hifadhi...
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu...
Huu uzi ningeshauandika kitambo ila wakati nataka kuandika ndo likatokea janga la moto huko Marekani. Wataalamu wameshaongea kuhusu sababu za moto na kutaja kuwa chanzo ni moto wa mwituni ulioenea...
Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani...
Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la...
Kesi ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, inayowakabili washtakiwa ‘wanaodaiwa kutumwa na afande’ leo Jumatatu, Septemba 2...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamua kuwa washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya ubakaji wa kundi na ulawiti dhidi ya Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, wana kesi ya kujibu. Uamuzi huo...
Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa...
Utangulizi:
Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa...
Meneja Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Magreth Mambai (kushoto) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa mteja wa kampuni hiyo jijini Mbeya kwenye pikipiki...
Wakuu!
Naomba nielezee na hii walau kwa uchache.
Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti...