Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo...
2 Reactions
5 Replies
251 Views
KERO ! Tigo mastercard nimepokea refund ya 4.3 million makato niliyokatwa ni laki 9 (931,000). Tigo nahitaji pesa yangu. Mamlaka husika chunguzeni makatato ya Tigo pesa. Watanzani pesa zao...
1 Reactions
5 Replies
254 Views
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani. Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9). 2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa...
2 Reactions
5 Replies
192 Views
Habari zenu wakuu? Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili? Iko hivi ndani ya miaka...
3 Reactions
26 Replies
876 Views
Wakuu, Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata? ==== Mkuu wa Mkoa wa...
17 Reactions
103 Replies
3K Views
Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa. Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024; Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti. Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari Ndugu! Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata. Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo...
5 Reactions
8 Replies
376 Views
Danguro la Mabinti wenye asili ya kihindi na Nepal lavunjwa jijini Dar-es-salaam. Aisee watu ni wasiri sana, kwahyo mlikuwa mnazichakata Mbususu za Kihindi peke yenu bila hata ya kutuambia nasisi.
36 Reactions
99 Replies
30K Views
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Hii sio habari ya udaku. Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki. Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini. Kama mjuavyo...
3 Reactions
7 Replies
306 Views
Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1 Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana Mimi uwa najiuliza Hawa uwa...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam, shalom! Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani...
3 Reactions
89 Replies
1K Views
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote...
31 Reactions
78 Replies
5K Views
Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha...
6 Reactions
1 Replies
198 Views
Huu huzi si wa ukabila ,, lakini ni chachu kwa mwanaume wap kwa kwenda kuoa[emoji3][emoji3]Usije ukasema wanao vichwa vizito!! Kadiri ya utafiti uliofanywa na marekani haya ndio makabila yenye...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…