Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu za jeshi ni vigumu kwao kuchukua ubingwa kutokana na kutumia wachezaji wa ndani ya nchi tu. Badala yake Zalisheni wachezaji wengi zaidi wa kuziuzia timu nyingine kwa bei kubwa. Hii...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametaja viwanja vitakavyotumika katika mashindano ya vijana chini ya miaka 17 katika fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon)...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho kati ya Simba dhidi ya Al Masry utapigwa Ijumaa ya March 09 kwenye uwanja wa Taifa kulingana na mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na shirikisho la soka...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenye kujua ofisi za meridianbet zilipo anisaidie, nimebugi katika kuweka pesa nimekosea id badala ya 1476251 nimeweka 1475261, nimejaribu kuwapigia simu wanadai hawawezi kurejesha hiyo pesa kisa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Shirikisho la soka Barani Afrika limeithibitishia Simba SC tarehe rasmi ya michezo yao miwili ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry ya Misri, ambapo mechi ya kwanza itapigwa Dar es salaam na...
1 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakuu habari za week end. Natumaini wote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo ningependa Ku share kidogo mawazo yangu kwenye mchezo wetu Wa soka tuupendao sana. Huu mchezo...
7 Reactions
70 Replies
10K Views
leteni maneno yenu .
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natoa wito kwa waandishi wote makini wa michezo kutumia ujio wa MaRais wa CAF na FIFA kujua ukweli na hatima ya uanachama wa Zanzibar kwenye vyama hivyo . Mpuuzeni Rais wa TFF na propaganda zake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
As team we can make it. naomben michango yenu ya hali na mali katika hili mechi ni za kesho ila nngependa mapendekezo yenu kabla ya maamuz yangu binafs
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Kwa upande wangu,makao makuu ya TFF bado sana,ie poor!!! ni heri Rais wa FIFA angepelekwa hotelini,na kikao kifanyikie hotelini,samahani kama ntakuwa nimewakwaza!!!ila makao makuu ya TFF...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Yaani Dkk Ya 37 tu Kipindi cha kwanza ikiwa ni SAA 5 Na ushehe hivi tukiwa Bar mpya huku Kijichi Mtaa wa Diwani tukiangalia game Mara imetinga Gari ya wazee(Leyland) yenye mfano wa Noah Pale ndani...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
قناة بي ان 1 سبورت بث مباشر الرياضية ماكس beIN Sport 1 live يلا شوت كورة اون لاين | كورة ستار Kora Star TV
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Timu za yanga na simba au azamu ukisikia vyombo vya habari vikivizungumzia utafikiri ni bonge la timu na utafikiri wanapiga bonge la mpira ila Leo nimecheki yanga ikicheza nimeona hamna kitu bora...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii ni rai kwa viongozi wa klabi ya Yanga kuwa tumechoshwa na matusi ya Msemaji wa watani wetu Haji Manara katika mitandao ya kijamii. Mara kwa mara amekuwa akipost picha za kuwakebehi wachezaji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ratiba inaonesha kuwa matangazo ya mechi yataanza saa 10.30 kwa saa za Afrika mashariki Live ndani ya AZAM SPORT2. Kutokana na majira tuliyonayo ya mvua na matatizo ya umeme huenda baadhi ya...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Kila mwenye macho bila shaka anajiuliza kama mimi . Hivi unaacha mchezaji mzuri akatumikie mkopo halafu unachukua galasa kama lile la kazi gani ? wazungu hulogana pia ? Kama siyo njama basi...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Simba VS Azam: Leo ni vita kati ya kinara wa ligi kuu, Mnyama Simba dhidi ya Wanalambalamba wanaotaka kurejea nafasi ya pili baada ya jana Yanga SC kuikwea. Azam FC anahitaji ushindi ili kurejea...
17 Reactions
167 Replies
31K Views
Kinyota Simba jana ilitakiwa kufungwa na Mwadui, penalti imewaokoa. Safari yao ya kuelekea kuendelea kubaki mchangani ndiyo imeanzia pale. Kisingizio ni kuumia kwa Bocco na kukosekana kwa Mkude tu...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
.
0 Reactions
0 Replies
921 Views
1.Andre Arendse 5.Mark Fish 15.Doctor Khumalo 19.Helman Mkhalele 6.Philemon Masinga
7 Reactions
37 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…