Nimependezwa sana na hotuba ya Mh. huyu mara baada ya kutangazwa kwamba ni mshindi wa kiti cha Urais, Z'bar.
Hakuwa na lugha ya kejeri, Hakuna kuzomeana kama CCM walivyozoea, Bila unifomu ya...
Nimefurahishwa sana na jinsi watanzania walivyoamka katika Uchaguzi huu. Hii inadhihirisha jinsi Watanzania walivyochoshwa na miaka 50 ya CCM ambayo haikuwa na manufaa kwa watanzania...
:israel:KWA MATOKEO NILIYOYAPATA SASA JOHN MNYIKA AMETANGAZWA NA TUME KUWA MBUNGE WA UBUNGO. HONGERA MNYIKA,HONGERA CHADEMA. PIPOOZZZZZZZ.....!!!:israel:
Wakuu mwenye habari za haya majimbo muhimu sana atupe habari zake, nina hamu kuona Kahama na Bukombe yakiwa kwetu, Viva Chadema.
Peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss!!
Habari toka very reliable and internal source ni kwamba, mgombea wa CCM ameshindwa kwa mgombea wa CUF lakini hataki ku-sign form za matokeo. Ilifika wakati akataka kumhonga mgombea huyo wa CUF...
Dr Slaa,
Kwanza kabisa, Asante sana kwa kazi nzuri uliyotufanyia watanzania mwaka huu. Mafanikio ya vyama vya upinzani katika ngazi za udiwani na ubunge yamechangiwa kwa kiasi kikubwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.