Hatimaye Mnyika atangazwa kuwa mbunge wa ubungo officially.! na kujaribu kuepusha vurugu kutoka kwa wanachama wa CHADEMA waliofurika huko mabibo wakisubiri matokeo hayo.
Mimi napendelea mabadiliko hasa...na pia ninavyotafakari na kuona hali ya wananchi wa hali ya chini....nadhani Tanzania tunahitaji kuona kuwa tunakoelekea ni karibu... Ukaribu huo ni kwa kujiandaa...
Kutokana na Vyanzo nilivyo vipitia hivi punde,, inaonesha Slaa mempiga magepu Kikwete majimbo ambayo Aslisimamisha wagombea wake wa Ubunge tu,, Lakini kwasasa kuna majimbo ambayo Kikwete wagombea...
Ni taarifa ninazopata sasa kutoka kwa mwenyeji wa Ulanga kuwa Professor Mkongwe wa Uchumi, na Mhadhiri wa vyuo vya Makerere na Sua ameshinda kwa kishido huko Ulanga.
Hii ni hazina kubwa sana kwa...
kwa mtazamo wa kawaida nadhani seif kakubali tu kwa sababu shein ni mpemba mwenziwe sijui wadau mnasemaje? maana naona mchakachuo wa kipindi hiki umefanyika kiintelijensia sana na katika chaguzi...
Hesabu ndio somo linaloogopewa na wanafunzi wengi ndio maana wanalikwepa pamoja na umuhimun wake kila sekta, sipati picha cha kinachofanya matokeo yashindwe kutangazwa sehemu nyingi wakati hesabu...
Mgombea wa sisi em, Selukamba ametangazwa kuwa mshindi, bila kutajwa hidadi za kura alizoshinda. Hii ni baada ya kura kuchakachuliwa kwani mgombea wa chadema ndo alikuwa anaongoza kwa matokeo halali.
NAJIULIZA JE:
Tumpongeze serikali ya JK kuweka mazingira fiar kidogo na hivyo? wapinzani kufanya vizuri mwaka 2010?. NB baadhi haya matokeo halali ya wapinzani kushinda yamekuwa...
Arusha ililipuka jana majira ya jioni, furaha isiyoweza kuzuilika mara baada ya msimamizi kumtangaza Lema kuwa ndiye Mbuge wa Arusha na kumbwaga Matilda wa ccm, yowe, Vifijo na nderemo ilisikika...
Kwa idadi ya viti vilivyochukuliwa na CHADEMA mpaka sasa kwenye uchaguzi mkuu 2010 na kwa kura za uraisi atakazopata Dk.Slaa nina matumaini CHADEMA wataongeza wabunge wengi wa viti maalum na hivyo...
Mtwara
Ghasia amepata 37 elfu vs CUF16 Elfu
Tandahimba CCM ELFU 34 VS CUF 33 elfu
Masasi CCM ni elfu 28 vs 6,860 CUF
Mengineyo
MANYONI MASHARIKI
7338 Lwanji CCM vs 6028 za bwana Donald...
Nimekuwa nafuatilia Matokeo ya Uchaguzi kupitia TV na Radio lakini kinachonishangaza ni Kwamba Katika majimbo ambayo CCM inashinda Matokeo ya Urais Yanawekwa wazi ila Kule ambako Upinzani...
Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC? Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, hivyo NEC ilikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kuendesha zoezi la uhesabuji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.