Mghh.. Mbona Majina ya ushidi wa wabunge wetu wa Chadema na CUF hamuwatangazi?
NEC vipi mmeshindwa kazi, CCM Kubalini bana mtaiba mpaka lini???
NF...Mbeya City Stand Up
Kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na Wasimamizi ni hila za wao kuibeba CCM baada ya kuona imeshindwa vibaya.
Wazo la...
ITV hamuwatendei wananchi haki kwa kuzuia matokeo ya Urais ambayo yanatangazwa pamona na yale ya wabunge. Tangazeni matokeo hayo yanavyokuja kutoka majimboni. Kwanza ni kwa sababu mtawasaidia...
Slaa ang'ara, wabunge CHADEMA wapeta
MATOKEO ya awali ya kura za urais, ubunge na udiwani yaliyoanza kutolewa jana kwenye vituo mbalimbali nchini, yameonyesha kuwa nyota ya mgombea urais kwa...
Naombeni tuchanganue tujue ni kiasi gani wanawake nao wamefanikiwa -bila kujali vyama:
List ni kama hii so far:
1. Dr Lucy Nkya - Morogoro.....
2. Halima Mdee - Kawe
3. Jenister Mhagama...
Jana nilikuwa katika shinikizo kuu baada ya kusikia kuwa kunataka kufanyika usanii katika majimbo ya Arusha Mjini na Nyamagana, na hasa niliposikia mafisadi JK na EL wapo kwenye majimbo husika...
Wana JF, Kuna tetesi kuwa CCM wana mpango usiofaa wa kuchakachua idadi ya kura katika majimbo ya Kawe na Ubungo na wanachelewesha kutangaza matokeo ili wapate akili ya namna ya kufanya ubadhirifu...
Kuna kila dalili kwa mba ucheleweshaji huu wa matokeo ya uchaguzi ni namna ya kumwokoa JK. Ukiangalia reporting ya NEC so far iko zaidi yale maeneo amabayo JK ilikuwa ni obvious atasweep kwa...
Tanzania Police Battle Protesters Over Delayed Poll Results
DOW JONES NEWSWIRES
Tanzanian anti-riot police battled protesters in major cities across the country late Monday, after results...
Kutoka mitaa ya sinza kuna habari kuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya sisi em, mzee Mwaking'inda yuko hoi hospitali kwa presha baada ya kushindwa uchaguzi huu na kijana wa chadema. Chanzo hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.