Chonde chonde, wana wa mageuzi, japo dalili zinaonekana kuwa uraisi haujashinda, mimi naona umeshinda SANA. Halmashauri nyingi sana, zenye nguvu ya watu na rasilimali ziko mikononi mwenu.
Fanyeni...
Kwa jinsi mwenendo mzima unavyokwenda wa swala zima la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na Urais, Tanzania itaongozwa na raisi aliyepatikana
kwa nguvu ya dora na hujuma
Opposition Leader Expects Kikwete Re-Election in Tanzania
Peter Clottey, Voice of America, 01 November 2010
The leader of Tanzanias parliamentary opposition told VOA indications on the ground...
Hivi kuna mtu yeyote aliye na data za jimbo la Muhambwe - Kibondo (Kigoma) manake CCM walimtosa mzee mwenzao Arcado Ntagazwa naye akaingia kambi ya jirani (wapinzani) CHADEMA, sasa sijui vipi huko
Huyu fisadi wa mabasi ya Dar Moro Mhe. Aziz Abood ameweza kutumia utajiri wake kununua wapiga kura. Ameshinda kwa kishindo kuwa mbunge wa CCM 20010-2015
Hatimaye msimamizi wa uchaguzi majimbo mawili ya maswa amemtangaza John Magale Shibuda na Kasulumbayi kuwa wabunge wa maswa magharibi na mashariki kwa tiketi ya Chadema
Uwezekano mkubwa wa ICC kuwa busy zaidi mwakani ni mkubwa kwani NEC iko jikoni kuzalisha watuhumiwa wakiwemo NEC wenyewe!
Hivi kubandika matokeo ya Urais kila kituo baada ya kupitiwa na...
Napata tabu sana kuelewa hawa wagombea wa CCM ambao karibia wote wakishindwa wanataka kurudia kuhesabu au wanakataa matokeo
tunajifunza nini kutoka CCM? kwamba wao huwa hawashindi kihalali?
Au...
Jamani mmeona leo malori ya jwtz mengi yakibeba masanduku ya kura hapa na pale?mimi nimeona leo asubuhi mpaka usiku huu!nafikiri ndio yametoka ngerengere na hakuna mtu wa kuingilia jeshi.
Wakuu,
Naona watanzania tumeamua kutumbukiza akili yetu kwenye imani moja ya ajabu. Imani kwamba matokeo ya vituoni yatatangazwa na kubandikwa vituoni lakini matokeo ya jumla Tume ndiyo yenye...
Akihojiwa na Bongo Radio msemaji wa Joseph Mbilinyi a.ka Mr. Sugu(MB elect) ndugu G. Solo amesema kuna baadhi ya wasanii waliokuwa wakimpiga vita Sugu kwenye majukwaa ya CCM wameanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.