Brazil wako 201,103,330 people na jana tulianza nao kupiga kura lakini wenzetu washampata Raisi wao
CCM naona wako bize na uchakachuaji.
Ivi kusum up matokeo jamani to me you just use an excel...
PONGEZI ZANGU:
NDG ZANGU WA-TZ, NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA SUGU NA MNYIKA KWA KUFANIKIWA KWAO KUINGIA BUNGENI.
HASA UKIZINGATIA SUGU WENGI WETU TUNAFAHAMU TOKA ENZI ZILE ANATOA...
habari zilizofika kwa source ya ITV huko mwanga
Udiwani CCM wamechukua viti vyote vya udiwani 20 kati yao wanne wamepita bila kupingwa
Kwenye Ubunge
CCM 20730
Chadema 4716
CUF...
Hakika inauma sana kuona damu ikimwagika, tena ikimwagika bila hatia kwa sababu ambazo zinaweza kabisa kuzuilika. Ninalazimika kusema havyo kwa sababu ya yale yaliyotokea Tandika, Tarime, Mbeya...
Tume ya Uchaguzi znz (ZEC) imetangaza kuwa itatangaza mshindi wa Urais Zanzibar sasa hivi (8:30pm) usiku huu. Hadi hivi sasa, SHEIN wa CCM anaongoza kwa 61% ya kura. Yamebaki matokeo ya majimbo 6...
Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni
Kituo A
chadema 140,
ccm 33,
Kituo B
chadema 115,
ccm 15.
Nita-update mara nipatapo matokeo mengine.
Pia, vijana...
Jamani wana jamii forums ninachukua nafasi hii kuwataarifu kwamba,mbeya maeneo ya mwanjelwa vurugu zimeanza mara baada ya wananchi kuchoka kusubiri matokeo.
Maeneo ya mafiat magari hayatembei...
shughuli haikuwa nyepesi wana JF kwani imetuchukua zaidi ya masaa 7 kuccomand matokeo yawe released na kuhakikisha kuwa hakichakachuliwi kitu..
mbunge wetu Msigwa ( CHADEMA -iringa mjini )...
Niko usawa wa mita 200 kutoka office za manispaa ya arusha kwa mda wa masaa mawili sasa. Hali ya hapa si shwari kwani kuna tetesi kuwa lowasa amefika na kufanya kikao na mgombea wa chadema.
Kwa...
Katika hali ya kutatanisha, kuna tetesi kutoka makao makuu ya NEC yanayohashiria kwamba, Hawa jamaa wamepita, lakini bado hawajatangaza rasmi, hebu wenye taarifa kamili watumwagie. Hii itakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.