Kwa hasira ya sintofahamu inayoendelea,wananchi wameamua kufunga barabara ya Moshi Arusha. Hakuna kwenda wala kutoka Moshi. Pikipiki zimelazwa barabarani. Na wabaki na matokeo yao.
Kamanda Ngongo leo umefanya kitu ambacho kama kwa Bahati Mbaya Batilda angetangazwa Mshindi basi Roho ya Mh Lema (Mb) ingekuwa kwenye Hatari sana
Fitna Uliyomzushia Ng Lema kwamba Ameuza Ubunge...
Tume ya Uchaguzi ya Taifa
imemtangaza sasa hivi Dk. Mohamed Shein wa CCM kuwa Rais wa Zanzibar baada ya kupata jumla ya kura 179,809 sawa na 50.1% dhidi ya maalim Seif wa Cuf. Maalim Seif...
Wale vibaraka waliotumwa na sisiemu kuja kuchafua hali ya hewa hapa JF muda wao wa kazi umeisha na sasa wanarudi rasmi kwenye shughuli zao nyingine.
Ninaamini JF itarudui kwenye status yake ya...
Nimezungumza na jamaa mmoja ambae yupo kisiwani unguja ameniambia kuwa tume ya uchaguzi ZEC imeahidi kutoa matokeo ifikapo saa kumi alasiri leo. Amenieleza kuwa kwa majumuisho ya kura kwenye vituo...
Jela miaka mitatu kwa kupiga kura mara mbili Send to a friend Monday, 01 November 2010 17:41 0diggsdigg
Suzy Butondo, Shinyanga
MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa imemuhukumu kifungo cha miaka mitatu...
Kuna Taarifa kuwa Magu Mjini mabomu yameanza kupigwa huko Magu baada ya kucheleweshwa kwa matokeo, vulugu zilizuka kutokana na watu kuhisi walikuwa wakipanga namna na kuchakachua matokeo kwa vile...
Taarifa zilizopatikana hapa tabata (Kimanga mwisho) zimesema kuwa Makongolo amenaswa na polisi hapa Tabata na anashikiliwa na polisi kwa uchunguzi. Tuendelee kufuatilia zaidi.
Tension mounts in Tanzania over delayed poll result
By Fumbuka Ng'wanakilala
Mon Nov 1, 2010 5:41pm GMT
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzanian police used teargas to disperse opposition...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.