Kuna tofauti yoyote kwa walioshindwa urais aliyepata jumla ya kura laki moja na aliyepata milioni mbili in terms of women additional seats and ruzuku au ni kwenye jumla ya kura za ubunge?
Wana jf mnaonaje tukitengeneza grouops kutembelea vijijini ili kutoa elimu ya uraia, na kuwa wezesha wananchi walio kosa elimu hiyo kuwa nayo, nadhani ndio yatakuwa mapinduzi ya kweli, ili raia...
muda mfupi msimamizi wa uchaguzi jimboni humo Bw Zuber Mbyana amemtangaza Dk Antony Mbasa wa CHADEMA kuwa mshindi kwa kupata kura 20828 dhidi ya 19843 za Oskar Mkasa wa CCM.
Pia habari kutoka...
Jamani, hivi hawa mashabiki wa vyama (vyote tawala na upinzani) wanaoshinda kwenye ofisi za halmashauri au viwanja vya mpira ati kusingizia kulinda kura au kusubiria matokeo... Hivi hawa hawana...
:thinking::thinking:
Kwa habari zisizokuwa rasmi yule kijana mwenzetu, aliyezushiwa ni Mrundi anazidi kuchanja mbuga kuelekea Bungeni, inaonekana ameendelea kuwaacha wapinzani wake ki-aina!
Jamaa...
Yale mabango yaliomwaga kila kona ya mji na kukera kila anaepita si mtoto waa mkubwa yakiwa na mapicha ya ukubwani /utototni/ ya rais kikwete sasa yameanza kuondolewa rasmi...mabango haya yalianza...
Chadema wataka matokeo ya ubungo yatangazwe haraka kabla yajachakachuliwa kuna vuruguzimetokea hapa naona mabomu ya machozi naskali kibao wametandazwa kila konaa
Hapa Sugu, Lema,akija Zito, Mdee na Mnyika we acha wakisaidiwa na Ndesa pesa mzee wa CUF Hamadi Rashid na wengineo! Tuombe uhai hapo mjengoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa waliowahi kufuatilia historia ya Seif na uchaguzi zanzibar nadhani watanisaidia kwa hili. Maalim seif ana historia ndefu sana na siasa za ZANZIBAR yaani toka enzi za mwalimu yeye ni mpinzai...
It is time Jakaya Mrisho Kikwet's government realize that, the country is soon going to explode if they continue holding their votes. People have spoken, their votes have been counted but the NEC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.