Monday, 01 November 2010 16:14
Salim Said
Matokeo ya awali
MATOKEO ya awali katika nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanaonyesha kuwa, mgombea wa Chama Cha...
Mm wana JF..ebu fikirieni hili imekaaje?...nadhani ni coincidence ila hii kitu kidogo imenichenguwa. Tumempoteza SYLLESAID MZIRAY ( Super Coach) siku ya uchaguzi na kuna Mgombea wa Urais mwenye...
Taarifa kutoka Jimbo la Ubungo zinasema kwamba Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kiravo amefika katika Shule ya Sekondari Loyola na ameruhusu kura zihesabiwe kwa kutumia mfumo wa program...
Bila shaka mtaniunga mkono, wakati tunaendelea kupata matokeo ya uchaguzi toka sehemu mbalimbali na hali halisi inavyojitokeza, hii ndio suluhisho ya yale yaliyokuwa yakielezwa na vyombo vingi vya...
Yule jamaa anayefanya propaganda hewa kwa JK kwa kujifanya haoni kama kuna kibano chochote mbele ya chama chake na JK wake kwa style ile ile ya jamaa aliyekuwa staa wa propaganda kwa Sadaam wakati...
This is the Time to Develope changes in Tanzania, From Educated to unrducated because if we fail our brothers and sisters will be ammesing for what we have done during out period..
As Benjamin...
Jamii forum kinachonishangaza ni kuwa,
Mkoa wa Tabora Haujafanyiwa chochote na Selikari ya CCM,Tabora ya mwaka 47 ni sawa na Tabora ya Leo.barabara mbovu,watu ni maskini sana,nitakupigieni picha...
Kwa matokeo ambayo tayari yaliyokwishatolewa Chadema inaongoza kwa mbali hasa nafasi ya urais na ubunge; Jk afikishi hata nusu ya kura ya Dr Slaa. Marmo hali yake ni mbaya. Chadema inaweza kupata...
habari z ahivi punde toka moro ni kuwa ccm wameiba fomu ya matokeo, wakala walipochachamaa ikapatikana, ila imegoma kuingia ktk machine,(hapa sijui ni machine gani). may be kuna machine ya...
ujumlishaji wa kura unaenda taratibu sana, habari za kuaminika (toka kwa mnyika) bado hawajafika hata 20% ya kura zote zilizopigwa
baada ya zengwe na mvutano mwingi, mnyika akatoa saa moja...
Tukiacha vyama na ushabiki ukweli ni kwamba wananchi wamechoka na mabadiliko ni lazima yatatokea. Kwa mfano Mkapa alikuwa anatishia vyombo vya habari lakini sasa hakuna siri tena kwasababu huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.