Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Anasisitiza kwamba no reform no election. Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi. Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu...
6 Reactions
97 Replies
2K Views
Miaka mitano imeshaisha sasa miamba inaenda kuomba nafasi kwa miaka mitano mingine kisha wakapige makofi bungeni na kusisitiza kuwa vijana wajiajiri ilihali wao wamekomaliaga hapo tu. === Mbunge...
2 Reactions
34 Replies
891 Views
Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka...
2 Reactions
7 Replies
368 Views
Katibu wa Baraza la Wazee wa Jiji la Arusha, Mzee Amimu Ngalawa, ameomba serikali kuongeza kiwango cha pensheni kwa wastaafu, akisema kiasi wanacholipwa ni kidogo na hakiendani na muda...
1 Reactions
6 Replies
294 Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Wakati serikali iko katika mchakato wa uhakiki pamoja na maboresho ya mishahara kwa watumishi wa umma ningependa kuchangia kidogo juu ya haya makundi mawili tajwa ya watumishi wa umma. Nianze tu...
8 Reactions
37 Replies
11K Views
BARAZA la Wazee mkoani Arusha limetaka ushirikishwaji katika vikao mbalimbali vya kijamii na ngazi za kimaamuzi ikiwemo bungeni ili kutumia hekima na busara zao kwenye hatua za maamuzi katika...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Wananchi hao wa Kiboriloni wamesikika wakilalamika miundombinu ya barabara kuwa ni mibovu sana na mbunge wao hawajamuona tokea atoe ahadi ya kushughulikia barabara hiyo. Wameongeza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
163 Views
Unakuta mtumishi wa serikali anaingia kazini saa 2 asubuhi. Saa 3 anatoka kwenda mtaani kutafuta chai...anarudi ofisini saa 5 au 6 mchana. Anavuta muda ikifika saa 7 mchana anatoka kwenda kutafuta...
33 Reactions
134 Replies
9K Views
GPSA au Wakala Wa Manunuzi Serikalini ni miongoni mwa taasisi zinazoikwamisha serikali katika kupiga maendeleo ya haraka. Siku nyingine nitakuja kwaajili ya taasisi nyingine lakini leo twende na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza...
5 Reactions
175 Replies
7K Views
Viongozi wa serikali katika nchi nyingi za Dunia ya Tatu hutumia mbinu mbalimbali za kifisadi ili kuiba pesa za wananchi huku wakijifanya kuwa waadilifu na wenye dhamira ya maendeleo. Wanafanya...
6 Reactions
7 Replies
286 Views
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) CCM Zanzibar Ndg. Khadija Salum Ali amefanya zoezi la kuhamasisha Madereva wa Boda boda Saateni (Pinda Mgongo) juu ya...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ndugu Ally Hapi, ametoa onyo kali kwa viongozi wa Serikali za vijiji wanaotokana na CCM, akiwataka kuacha tabia ya kujiona miungu watu kwa kuwaonea...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Nimekuwa nikifuatilia utendaji kazi wa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ndugu Chacha ni mfano wa kuigwa. Anafanya kazi kwa manufaa ya wananchi wote wa Tabora. anaenda kila Wilaya kusikiliza kero za...
3 Reactions
3 Replies
214 Views
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo amesema Chama cha Mapinduzi na wanachama wake wameshafanya maamuzi ya kumteua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais hivyo wanaopiga...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
"Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo...
1 Reactions
7 Replies
266 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…