Wandugu,
Mhe. Shibuda ameilipua ccm huko Maswa. BBC Swahili wametangaza muda si mrefu. Bunge la mwaka huu litanoga. Askari wa chadema wanaendelea kuongezeka...
Laiti wapinzani wangekuwa serious kipindi hiki wangechukua nchi kiulaini, ila vyama vyao vinakasoro za wazi kubwa, mfano, chadema, ukabila. CUF udini.
This was their time ila they need first...
wapinzani tutumie uchaguzi huu kujifunza!! Mcpo ungana ni dhair CCM wataendelea kuongoza nchi!! Kama wapinzani wangeungana am sure leo wangeshika nchi! Ila kwa sababu ya tamaa zao wamekosa!!
kwa taarifa zinazoendelea kusambaa shinyanga,, mgombea wa chadema bwana shelembi ameibiwa ushindi wake na kusababisha hali ya mchafuko kutokea sasa huko shinyanga..
Pia kwa habari zisizo rasmi...
Nimekuwa nikisoma baadhi ya post za wadau, kuna baadhi ya watu wanadai hivi sasa JK yupo Mwanza pia kuna baadhi ya watu wanadai ati yupo Zanzibar, naomba usahihi juu ya hilo
Wadau naomba ambaye ana full data za pale mlimani naomba anijulishe, kwani ndo nimepiga kura yangu hapo. nataka kujua impact na Sacrifice ya wenzetu waliotoka mikoani kuja kupiga kura pale mlimani...
Nchi imetumia pesa nyingi sana kuhamasisha watanzania kwa kaulimbiu ya kupigakura ni hakiyako, Inashangaza kuona kuwa kupata matokeo ya kile kilichowaweka watu katika misululu inakuwa ni hisani...
Habari zilizonifikia zinasema kwamba matokeo ya ubunge Sumbawanga mjini yameshakamilika ila CCM imemleta Mizengo Pinda na sasa hivi kuna kikao kinachoendelea cha kumbembeleza mgombea wa CHADEMA...
M.Seif apata 50.06%
Dr.Shein:47.30
Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
JIMBO KUTOKA PEMBA
JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893
JIMBO LA WETE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.