Samahanini sana sana sana kwa kulipua hili mada mbele yenu, lakini lengo langu si kuchafua mioyo yenu na ubongo wenu, lengo kujua kitakachotokea huko mbele nchini juu ya Dr. W. Slaa(PhD)...
Jamani mimi haya matokeo ya Kikwete mbona yananifanya nijisikie hivi? Hivi ni kweli anashinda kwa wingi wa kura kiasi hiki kama vile hatukupiga kura watu wa upinzani? aitaki kusema zaidi but am...
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na
kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika
kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
Jumla ya mawaziri 14 hivi hadi sasa yasadikiwa wamepoteza viti vyao lakini kila mahali wakubwa hao wanakataa matokeo na kutaka kura zihesabiwe upya!!!!!!!!!!!!!!......
Katika sheria ya uchaguzi...
kwa matokeo ya mwka huu percent watayopata ccm dio exactly idadi ya wajinga wa tz, wasiojua kusoma, kuandika, na kuchambua mambo. ukitaka kuniprove sahihi just angalia maeneo ccm walioshinda uone...
Kiburi na majigambo havijawasaidia,wadau waliwaonya sana masikio pamba waliyatia wakawatuhumu wapinzani sasa wao na jeshi lao ndio wanapalilia vita.wana jf tujadili hili je ccm inafia mikononi mwa...
Wakuu,
This' so serious. Inasikitisha kuona kuwa NEC wameamua kuibaka demokrasia kwa kumtangaza bwana huyu kabla hata masanduku ya kura hayajamaliza kuhesabiwa. Hii ni haki?
Observers mnafanya...
Kwani si tayari mwanza kuna nini kinaendelea? Tunaomba mtupe habari zaidi,na ikiwezekana waliopo mwanza lindeni kura kwa nguvu zozote zile kwani hata kama kikwete yupo mwanza hatuwezi kuvumulia...
Kuna watu wanataka kuleta uchochezi hapa JF. Wasiokuwa na data za kutosha acheni mchezo wa kutupandishia mori bure!! Mtu anaandika kichwa cha post/thread ukizama ndani longolongo tupu!! Blaablaa...
Mbunge mteule wa jimbo la Hai, mheshimiwa kaka yetu wa ukweli Freeman Aikaeli Mbowe ametangazwa rasmi kushinda ubunge kwa tiketi ya CHADEMA.
Hapa Hai mjini ni shamrashamra za hali ya juu na...
Nimekuwa nikipitia blog mbalimbali kutafuta takwimu ya wabunge wa CHADEMA waioshinda katika majimbo yao, lakini bado sijafanikiwa kupata habari za uhakika, zaidi ya Zitto Kabwe ambaye ameshinda...
Rafiki yangu wa karibu Mhandisi Tuni Abraham Humphrey kanipigia simu sasa hivi kuwa mpinzani wake wa CCM ambaye ni Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa katangazwa na Msimamizi wa...
Najiuliza hivi vichwa vikifanikiwa kuingia bungeni (vingine tayari) Bunge litakuaje
Kichwa kama Tindu Lisu
Freman Mbowe
Halma Mdee
Myika
Thomas Nyimbo
Lema
na babu mrema na vingine kibao....
Huyo...
Mbona tbc hamsomi upepo?naona mnatangaza tu sehemu ambazo mabosi wenu wameshinda.mnaogelea kinyume na mkondo wa maji shauri yako tido mhando
soma wakati ukutani
Naomba katika post hii tutaje tu wagombea waliokwisha dhibitishwa na TUME(Wakurugenzi)tuachane na masuala ya matokeo ya awali tutaje waliotanagzwa tu ili tujue tunao wabunge wangapi mkononi at the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.