Jimbo la uchaguzi la Tarime lililokuwa ngome ya Chadema ktk mkoa wa Mara limechukuliwa na mgombea ubunge wa CCM. Pia ktk kata 30 za Jimbo hili, CCM wamenyakua kata 17, Chadema 12 and CUF...
Tumedhamiria kuing'oa ccm kama ckuitowesha ktk raman ya tanzania. Uchakachuwaji wamatokeo umeanza na kama hatutopata haki basi ni wito wangu kujaa ktk kila kona ya barabara kuishinikiza ccm...
MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS KWA JIMBO : BUKOBA MJINI
KUGA PETER MZIRAY APPT - MAENDELEO 117 0.35%
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 15,410 46.56%
DR. SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 16,604 50.16%
LIPUMBA...
Jamani nadhani Nia ya kuchelewesha matokeo ya ubunge, wanapata nafasi ya kuchakachua kura za urais. chadema jamani mjitahidi pomoja na kazi ngumu ambayo tayari mnafanya katika ngazi ya ubunge...
Sheria inasema nini kuhusu Kujumlisha kura za wagombea Uraisi na Kutangaza matokeo.
Wakuu,
Nimetonywa na chanzo kinachoaminika kuwa M-Kiti wa Tume ya Uchaguzi akisha pata jumla ya kura...
Nanuku kuwa Jaji Lewis Makame amesema ktk matangazo ya BBCswahili kupitia Ustream amesema matokeo ya Urais yatatoka siku ya Ijumaa tarehe 05/Nov/2010. Jaji Lewis aliyasema hayo ktk mahojiano na...
JK mkakati wake wa kurudi kazini yaelekea umefanikiwa kutokana na matokeo ya awali yanayosomwa na NEC ambayo yeye mwenyewe ndiye mteule wake lakini anaelewa fika siyo chaguo la wengi na ndiyo...
Nimeendelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Tanzania. So far, kwa yale ambayo yameripotiwa, CHADEMA imefanya (kuongoza) katika mikoa ya ziwa, kaskazini na nyanda za juu kusini. Ukifuatilia sensa ya...
Jamani hebu angalieni Star TV live coverage, polisi warusha mabomu kutawanya watu pale ofisi za jiji. Kisa? matokeo kucheleweshwa, nyamagana na ilemela
Hiki ni kipindi kigumu katika nchi yetu wakati tunapoendelea kusubiri matokeo ya kura.
Inahitajika wenye hekima kuitumia hekima na busara yao katika kuepusha utata na hisia zisizo na lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.