Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ni vema tukaelimishwa Bandari ya Bagamoyo iko wapi Kama ni ile ya pale karibu na mahakama ni Bora wapewe tu waarabu kwa sababu Wazaramo ni Wavivu waliptukuka Ila kuanzia Kitopeni, Kiromo...
1 Reactions
11 Replies
275 Views
Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana. Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafahamu kuhusu uwezo wa viongozi waliochaguliwa ndani ya chama lakini wanachama wa CHADEMA wao...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, viongozi wastaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kutoa malalamiko yao kuhusu hali ya haki katika mchakato wa uchaguzi ndani ya chama. Malalamiko...
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Uwazi wa mikataba kwa umma, ndipo kilio kilipo, tuingie mikataba safi, ya vipindi vifupi kadri iwezekanavyo, mamlaka zetu kama tra ziweze kufanya kazi yake kwa uhuru, gawio letu lisiwe chini ya...
1 Reactions
10 Replies
176 Views
Hivi nyie vyombo vya habari, nyie sindo CCM ilikua inawafungia ? Na kuwawekea mitozo mingi na migharama mingi kwenye kuanziasha hizo Online TVs ? Mmeshajisahau. Kesho ni Mkutano Mkubwa wa LISSU...
10 Reactions
5 Replies
414 Views
https://youtu.be/-NdDsArLVlU?si=eH35yrxDVCmdL3QM ➡️Huyu mzee anayesemekana kuwa amefukuzwa uanachama CCM, ni wazi kuwa yuko so determined kuhakikisha kuwa mchakato wa kumpitisha Bi Samia Suluhu...
0 Reactions
3 Replies
225 Views
Katika hili la kumpeleka mpinzani wake Kimataifa zaidi Shujaa Magufuli alifeli Lakini Rais Ruto amejitahidi sana kumpigania Raila Odinga Kazi imebaki kwa Raila mwenyewe kujipigania Wakati wa...
1 Reactions
6 Replies
211 Views
Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
Kwa Aina ya wananchi TULIONAYO watanzania wenzetu inahitajika mikakati na mbinu Kali mno ili wakuunge mkono Moja Kwa hutuba ya kwanza ya mkiti ilipaswa aanze kuelezea maono ya Chadema ya Muda...
4 Reactions
31 Replies
649 Views
Mbunge wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga, amemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayofanya katika kuleta maendeleo nchini, akisisitiza kuwa ni kiongozi shupavu anayehakikisha Tanzania...
0 Reactions
16 Replies
289 Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM), amewataka wanachama wa chama chake kuacha kumwekea fitna ili apate fursa ya kugombea tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa kuwa mimi sijasoma sana na sina taaluma ya uhasibu lakini binafsi gharama ya uwanja wa Dodoma unaochukua watu takribani 32,00 tu unajengwa kwa shillingi za Kitanzania 310 billioni. Kama...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu, Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya shilingi bilioni 945.7 kwa ajili ya kuongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka shilingi trilioni 49.346...
1 Reactions
7 Replies
273 Views
Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa...
1 Reactions
0 Replies
104 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) leo tarehe 14 Februari, 2025 ametembelea eneo la mradi wa ujenzi unaoendelea kwenye viwanja vya Ubalozi...
0 Reactions
1 Replies
102 Views
Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya leo amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika nyadhifa za serikali na bodi za kitaifa. Kwa mujibu wa...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
WAWEKEZAJI wakuu katika mradi wa gesi kimiminika (LNG) wahimiza Tanzania iharakishe mchakato, mradi Uanze https://m.youtube.com/watch?v=29vTb7IfVy4 Katika viunga vya mkutano huo wa Wiki ya...
0 Reactions
2 Replies
173 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…