Jana usiku CCM wamezindua kampeni ya kuchangia kampeni kwa kutumia simu za mkononi!
Makadirio ni kwamba watakusanya taslimu 40,000,000,000/=(bilioni 40)!
Mimi nilipotazama jinsi washiriki...
Yaonekana Serikali hii inazidisha juhudi za kutoheshimu sheria au taratibu za utawala.
Kwa wale walioko Ardhi University (ARU) munafahamu vizuri tukio la hivi karibuni (baada ya lile la Prof...
Aliwahi kuishi Ikulu ya Guinea kwa?miaka 20
MAISHA ya binadamu yamejaa mshangao. Mnamo mwaka 1951 alizaliwa mtoto wa kiume katika familia ya wafugaji wa Kimasai iliyokuwa ikiishi katika Savanna...
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana...
Na Ramadhan Semtawa
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe amesema kuna ugumu katika kuzipata Sh42.6 bilioni zilizobaki katika uchunguzi wa fedha za EPA kwa kuwa hadi...
Wanabodi,
Nimekuwa nikifuatilia kikao cha Bunge asubuhi hii live kupitia TBC, mara ghafla matangazo yakakatishwa ghafla, TBC kwanza wakaweka promos na baadaye documentary ya underwater.
Kwanza...
Rais Jakaya Kikwete.
Wakati Rais Jakaya Kikwete anahimiza kuwa kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ndilo litakalokuwa suluhisho la mpasuko wa...
Katika majimbo ambayo tayari moto umeanza kuwaka kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 nafasi ya ubunge ni jimbo la bumbuli....
Wiki magazeti mengi yamekuwa yakiongelea kuhusu mzee shelukindo...jana...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana.
Serikali imeingia katika mchakato wa kutoa elimu na sheria ya mazingira ili kukuza uchumi pamoja na kupunguza...
Hii ndio ukisikia typical example ya serikali suruali. no vision no nothing! fuatilia hii habari kutoka mwananchi.
Wabunge washtushwa ATCL kudaiwa 39 bilioni
Sadick Mtulya
Gazeti la Mwananchi...
Mbunge wa Karagwe, Mheshimiwa G Blandes, amepata mpinzani katika kugombea kiti cha Karagwe. Mpinzani wake ambaye ni Mweka Hazina wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Karagwe, Karim Amil.
Karim Amil...
Bunge la Tanzania ambalo linaanza mkutano wake wa 19 kesho mjini Dodoma limekubali kulirejesha suala hilo kwenye chombo cha kutunga sheria baada ya mbunge wa Karatu, Dk Willibrod Slaa kuwasilisha...
Katika hali inayoonesha siasab za kuchekesha, baadhi ya wananchi katika mji mdogo wa Maganzo waliamua kumvisha Tshirt mbwa wakati wa maandamano ya kumlaani Mpendazoe kuhama CCM. Tshirt hizo...
Tumesikia habari ya mama Salma Kikwete ya kusomewa taarifa za maendeleo ya Mikoa na Wilaya na itifaki zake na hawa Makamba, Chiligati, Mkuchika na Kidawa viongozi wa sekretariati ya CCM kulipwa...
Kwa mwenye hard copy ya "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" naomba mnisaidie hapa...
a. Kwenye nukuu ya kwanza ya ripoti ya Nyalali (mwanzo kabisa) kuna sehemu inasema hivi:
Mapatano hayo...
Wabongo wakitaka kutoa misaada kwa wahanga wanawapelekea serikali.. US, Ufaransa na sasa Ireland.. wao wameona ni bora kusaidia Red Cross.. Wamarekani walivyotaka kusaidia Haiti wakaamua kupeleka...