Nimeshiriki kidogo kwenye mjadala ndani ya Star TV mapema asubuhi Ijumaa hii nikichambua kwanini Sheria hii ni mojawapo ya sheria mbovu kabisa kupitishwa na Bunge letu, ikiwa na lengo la kudumaza...
Uchafu uliokithiri jijini,
Msongamano wa magari unaokera,
Ongezeko la Ombaomba Barabarani,
Kuongezeka kwa watu wanaofanya biashara kwenye maeneo mbalimbali kiholela mfano Manzese, na sehemu kadhaa...
Source ya hii ni huko Tanzanet
Changa la macho la Barrick na BoT wanakimbilia bila fikara.
This idea of spinning off ABG was announced to the world in mid February, and the IPO is supposed...
Yadai chanzo cha ajali ye ndege ni ubovu wa uwanja wa ndege huko Mwanza...
Yachomeana tena nyumba na kuharibiana mazao huko Musoma...
Yazidi kuacha wamama wajawazito wazalie sakafuni...
Ndugu zangu wananchi tunaoishi New York City, na vitongoji vyake, kwa niaba ya kamati maalum ya wananchi kwa kushirikiana na wenzetu wa Ofisi ya Ubalozi wetu wa kudumu UN,
- Ninaomba...
Prosecute all corruption suspects, says US envoy
By Erick Kabendera
4th March 2010
US Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt.
The US Ambassador to Tanzania, Alfonso E. Lenhardt...
HARAKATI za kuwania urais zinahusishwa kuandaliwa kwa mtandao mpya wa Rais Jakaya Kikwete ambao unadaiwa unawarejesha baadhi ya wajumbe wake wa zamani, unampigia debe Spika Samuel Sitta na...
Unastahili tuzo(Tuzo ya mwanamke jasiri 2010-toka USA) hiyo kwa kuwa umekuwa mstahili wa mbele kutetea haki za waTZ ikiwa ni pamoja na wanawake kwa ujumla.
Ni wachache sana wanaweza fanya...
WAZIRI Mkuu na Makamu wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba (69), amepelekwa Afrika Kusini kwa matibabu baada ya afya yake kuzorota; Tanzania Daima imebaini.
Habari za uhakika ambazo gazeti...
Kuna haja ya kumpendekeza magufu agombee.
Tumechoshwa na watu kama kikwete ambao kwao cha maana ni safari za ughaibuni kila kukicha, huku wakiacha wazawa wenye hali duni tukifa na kutopea kwenye...
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura.
January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na...
CHAMA CHA JIHADI?
ETI ni kweli kwamba CCJ ni chama cha Jihadi na kwamba waathirika wengi wa mauaji Mwembechai na Zanzibar wamejiunga na chama hicho?
Mambo ....ambayo CCM lazima...
Wanasheria na wachambuzi wa siasa nisaidieni kutoa ufafanuzi kwa hili,Hivi ikitokea kwa mfano Mwenyekiti wa Chama tawala kama alivyo J.K.Kikwete ,kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa chama na...
Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo
1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao...
RAIS wangu, siko hapa kumhubiria mtu au watu, bali kuihubiri habari njema ya ukweli, upendo na haki.
Katika watu waliofanikiwa sana kiuongozi kisiasa katika nchi hii kwa nyakati zao ni pamoja...
Absalom Kibanda
HEKAHEKA za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimepamba moto, na tayari vituko kadha wa kadha vya kisiasa vimeshaanza kuonekana kadiri miezi na siku za kuelekea Oktoba 31...
Yes indeed dear friends! It has been four years since we entered into the arena of public discourse in a fashion and manner never seen before; in online debates, political columns in our...