Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Date::2/18/2010 Mseto Zanzibar baada ya miezi 3 MUUNDO wa Serikali ya Mseto visiwani Zanzibar utajulikana katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Nora Damian Mwananchi 20/2/2010 BENKI ya Dunia (WB) imeitaka serikali ihakikishe kuwa inaacha matumizi mabaya fedha za maendelelo, kwa kupunguza posho na marupurupu mbalimbali kwa watumishi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Salim Said CHAMA Cha Wananchi (CUF), kimesema mazungumzo yake na serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni siri inayopaswa kuwekwa wazi kwa makubaliano maalumu. Juzi Katibu Mkuu wa CUF, Maalim...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
baada kamati ya mzee mwiyi kuanza kazi yake, jana kwenye hoteli ya ngurudoto vigogo hawo wawli walikimbiana baada ya spika wa bunge samweli sitta kutotia miguu kweye hoteli hiyo, kamati hiyo...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
CHUO Kikuu cha Fatih cha nchini Uturuki kinatarajiwa kumtunuku Rais Jakaya Kikwete, Shahada ya Uzamivu (PhD) ya heshima, imefahamika. Ikulu, Dar es Salaam imesema, Rais Kikwete anaondoka leo...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Na Saed Kubenea MwanaHALISI UWEZEKANO wa Rais Jakaya Kikwete kugombea bila mpinzani ndani ya chama chake, umeanza kutoweka, MwanaHALISI limeelezwa. Mkakati mpya wa kumuhusisha na kashfa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
DAILY NEWS Reporter, 19th February 2010 TANZANIA can promote the agenda of good governance because it enjoys the highest press freedom in the East African region, Minister for Foreign Affairs...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Govt: Richmond scam files far from closed By Edwin Agola 20th February 2010 All those implicated will be taken to court, says minister Foreign Affairs and International Co-operation...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau kama mnavyojua Serikali yetu ndio imeshashindwa kuwachukulia hatua yeyote hawa wenye hatimiliki na nchi Kwa kisingizio nchi itavurigika au haitatawalika ijapokuwa Mwalimu Aliwacha sheria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Polisi Dar es Salaam leo wamemkamata mwandishi wa habari Moshi Lusonzo, ambaye alikuwa akipiga picha wakati wa operesheni ya polisi ya kukamata wafanyabiashara wanaoiba haki za wasanii katika...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
UK should come clean on the radar suspects Two weeks ago, we broke the news that, Sailesh Vithlani - the man who has been hiding out in Switzerland for years, to escape prosecution for brokering...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Professor Mayunga Nkunya is quoted in today’s papers as stating that it is against the law for anyone to question the validity of other peoples' degrees. I hope that he has been misquoted, for it...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Na Joseph Sabinus Tanzania Daima KANISA Katoliki nchini limeibuka tena na kutoa waraka kwa waamini wake kuhusu namna bora ya kushiriki uchaguzi mkuu ujao na safari hii likitoa maswali mazito kwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
kauli aliyo toa spika wa bunge ni za kisiasa zaidi kuliko kujali masilahi ya umma alikuwa wapi mwanzo wakati bunge linafunga mjadala wa Richmond? wakati yeye angepaswa kuruhusu mjadala uendelee...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Waheshimiwa.. kwa yeyote mwenye contacts za Mzee Yona au wanawe wawili naomba unitumie kwa PM. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwananchi Exuper Kachenje 18/2/2010 ASEMA MARIDHIANO HAYAONDOI IMANI YAKE KATIKA KUPAMBANA NA UFISADI SPIKA wa Bunge Samuel Sitta amesema yupo tayari kwa hukumu yoyote itakayotolewa na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Haya kwa wale ambao hatuifahamu ilani ya CHADEMA ya 2005 nimeona ni vema nikawaletea ilani hii ya Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge,Wawakilishi na Madiwani ili tuichambue, kuijadili na kuikosoa.
0 Reactions
59 Replies
6K Views
20th February 10 Tanzania will still need aid for next two decades - WB Angel Navuri A World Bank lead economist, Paulo Zacchia, has said Tanzania will still need financial assistance...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Takriba watu miatatu walihudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF uliofanyika juzi jmosi 13/2/2010. Baada ya maelezo marefu na ya ufasaha kuhusu mwangalio...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
RAIS Jakaya Kikwete amesema baada ya maridhiano kati ya Chama cha Wananchi (CUF) na Serikali ya Mapinduzı ya Zanzibar, hali ya kisiasa, itazidi kuwa nzuri visiwani humo. Mbali na hilo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…