Kwa wale waliobahatika kufika katika ofisi za balozi zetu katika nchi mbalimbali watakubaliana nami kwamba hali inasikitisha. Pamoja na uchache wa maafisa, uwezo wao kitaaluma pia ni wa kutilia...
Kumekuwa na fikra ndani ya tume ya uchaguzi kuwa kuna mpango wa kuongeza majimbo ya uchaguzi kwenye uchaguzi ujao. Hii inathibitisha kuwa ni jinsi gani watunga sera wanavyoona umuhimu wa kulinda...
- According to the dataz, Jumapili hii kutakua na kikao cha dharura cha CCM. Habari hizi tumezithibitisha toka kwa vigogo mbali mbali wa CC walio katika safari za mbali, ambao wamefahamishwa...
Jamani wakuu, yukwapi Mh Zitto Kabwe, sijamsikia muda kidogo humu ndani na nina hamu kweli ya kuzungumza nae suala la Nyumba mbili kwa bilioni mbili unusu
Maadili na nidhamu ya watumishi wa umma yameporomoka. Polisi na wanajeshi mara kadhaa wamekuwa ni majabazi.watumishi wa umma wanasaini mikataba mibovi mingi sina budi kuzitaja.Rais wa nchi amekosa...
Mtuhumiwa EPA adaiwa kuandaa harambee CCM
*NI MARANDA, WAMWALIKA RAIS KIKWETE
Sadick Mtulya
MTUHUMIWA wa wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), Rajabu Maranda anadaiwa...
NB: kwa kuweka Katiba hii haina maana ninakiunga mkono chama hiki au kukubaliana nacho au kukipendekeza kwa wananchi kwa wakati huu. M.M
KATIBA
YA
CHAMA CHA JAMII
(CCj)
Utangulizi...
Happiness Katabazi
KATIKA mchakato wa mageuzi ambayo yamefanyika kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, mfumo wa sheria na siasa za nchi, taasisi za dola zimejikuta...
Daniel Mjema (mwananchi),Moshi
MBUNGE wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela ametangaza rasmi kupiga kambi Moshi Mjini hadi mwaka 2010 ili kuhakikisha kuwa CCM inanyakua jimbo hilo, uamuzi...
Wana JF na wadanganyika kwa ujumla,
Ningelipenda nikakupeni kidokezo juu ya ugawaji majimbo, mimi binafsi yangu ni mzanzibari na katika historia yetu huko visiwani tushashuhudia ugawaji...
Kenyan hypocricy over sale of Tanzania's ivory stock
Kenya angry with CITES over sale of ivory, partisan secretariat
By COSMAS BUTUNY
January 17 2010
The secretariat of the Convention on...
Serikali ieleze kwa Umma hatua zilizofikiwa na Tanzania kuhusu maandalizi kuelekea soko la pamoja la Afrika Mashariki
Wabunge waihoji Serikali kuhusu mchakato huo katika mkutano wa Bunge...
Wana JF
Wakati tunaenda kuchagua wabunge ni vizuri tukijadili nani anatufaa na tunahitaji nini kutoka kwa hawa tunaowaajiri.
Kwa mtazamo wangu mimi nafikiri Mbunge ni kama meneja wa mahali...
Sunday, January 3rd, 2010 | written by Suleiman Mbatiah
Tanzanias President Jakaya Kikwete has vehemently called for unity ahead of the national general elections later this year. In addition...
*NI MARANDA, WAMWALIKA RAIS KIKWETE
MTUHUMIWA wa wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), Rajabu Maranda anadaiwa kuandaa harambee kwa ajili ya kuichangia CCM mkoani...
Prof.Shivji ni mtu mtaalamu na anajua anachokizungumzia.Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu ambao wengi hawajuwi hali halisi ya visiwani Zanzibar na wala hawaathiriki na vurugu za huko...
kwa sababu tumekubali kuwa watawala wao wanastahili maisha ya heri. HIvi mnakumbuka zile nyumba za mawaziri zilijengwa kwa kiasi gani kila moja? Ni mawaziri wangapi wanaishi kwenye nyumba zile? Je...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mzee Msekwa akiwa kwenye mjadala uliendeshwa na TBC1 kuhusu swala la Mwafaka wa Zanziba.
Mzee Msekwa alijikuta ukweli juu ya yaliotokea Butiama ukitoka wenyewe na...
Kongamano kupinga ufisadi lahusishwa na chama kipya
KONGAMANO kubwa la kupinga ufisadi linatarajiwa kufanyika Dar es Salaam kuunga mkono juhudi za Serikali za kuwachukulia hatua watuhumiwa wa...
na Makuburi Ally
WAKATI Rais wa Benki ya Dunia, Robert Zoellick anatarajia kuzuru Manzese jijini Dar es Salaam wiki ijayo, wajumbe wa mitaa ya Mwembeni na Midizini wamegoma kushiriki shindano la...