Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Amatus Liyumba. Shahidi wa sita katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, amedai mahakamani kuwa mabadiliko ya mradi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hizi habari za mauaji ya albino zinasikitisha na kututia aibu kubwa. Hebu angalieni Associated Press walivyoandika http://news.yahoo.com/s/ap/20091128/ap_on_re_af/af_africa_albino_killings
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CCM yaanika vyanzo vya bajeti ya uchaguzi 2010 Imeandikwa na Na Mwandishi Wetu; Tarehe: 28th November 2009 @ 23:59 Habari Leo CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka hadharani mkakati wake wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo nilikuwa nasikiliza habari katika magazeti vichwa vya habari vilivyowekwa kwenye magazeti haya nimejikuta katika mshangao sana Hivi huwa mnafatilia habari kwa kina kabla ya kuzitoa hewani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tazama wanacvyofuja pesa za walipa kodi kuanzia ukurasa namba 62 ndani ya PDF document hii hapa: http://nao.go.tz/files/SERIKALI%20%20KUU.pdf Orodha ya Balozi zilizokuwa na maswala...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Asha Baraka ajitosa ubunge Kinondoni MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Asha Baraka, ameingia matatani kwa kudaiwa kuanza kufanya mikutano ya siri na...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
N° 1274 28/11/2009 TANZANIA Head of Tanesco in a tight spot An audit report is embarrassing for Idris Rashid just as the question of renewing his mandate...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndugu WanaJamii Forum Nimeona habari hii ya ajabu katika gazeti la Daily News ambapo bila aibu wala soni Waziri Marmo anadai kuwa madai ya mauaji ya wachimbaji wadogo wa dhahabu kule Bulyanhulu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kutoka Italia alikokuwa balozi Nyerere alishangaa na kuhoji ni balozi wa aina gani huyo? Akatolewa Italia na kupelekwa Sumbawanga, Rukwa Mwandishi wetu, Godfrey Dilunga, wiki iliyopita...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna habari kuwa anaweza kufa eidha leo au Jumapili Mwananyamala Hosp mtamuua mama huyu! Imeelezwa kuwa hali ya mwanamke mjamzito ambaye kiumbe chake kimefia tumboni tangu wiki iliyopita...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
wanandugu tumekuwa tukiangalia upande mmoja kwa mafisadi lakini lazima tuangalie uhalisia...j kwa nchii jinsi ilivyo kwa nini usiibe..personal sijaona maisha yanayoni atract kuishi bila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais Mstafu Benjamin Mkapa Na Salim Bimani Viongozi wa imani ya Kikristo wanastahiki kusifiwa kwa kuzitumia sikukuu na mikusanyiko yao ya kidini kuzungumzia sio tu Uokovu, Uzima wa Milele na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chuo Kikuu Makerere kumuenzi Mkapa kama kiongozi boraNa Leon Bahati "NABII hakubaliki nyumbani kwake". Ndivyo inavyojionyesha kwa rais wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ambaye leo...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakati hayo yametokea Uganda, Tumeyaona Kenya na Tanzania Pia.Nini hatima ya mjadala wa ARDHI kwa Wananchi wa Jumuiya ya Afrika mashariki? Land battle looms in Uganda...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Wadau.. Rwanda inakaribia kujiunga na Jumuiya ya Madola iwapo uamuzi wa kikao cha wakuu wa nchi za jumuiya ya madola kinachofanyika Trinidad & Tobago kitaridhia uanachama wake. Hisia za utawala...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu, Naombeni msaada kwani hli limekuwa likinitatiza. Nimeona watu wakipigania sana kuwa wenyeviti wa bodi mbalimbali hasa za mashirika ya umma.Na hivi karibuni nimesikia watu wakishauri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kikwete akerwa mapinduzi ya kijeshi Afrika Na Mwandishi maalum NIPASHE 27th November 2009 Rais Jakaya Kikwete, ameutaka Umoja wa Mataifa (UN) na jumuia ya kimataifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanesco yapinga kuvunja mkataba wa bimaNa Claud Mshana SHIRIKA la Umeme (Tanesco) limefungua kesi Mahakama Kuu kupinga uamuzi uliotolewa na Mamlaka ya Rufaa ya Manunuzi ya Umma (PPAA) kuitaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Source: Nipashe 27 November 2009 na mwandishi maalumu: "Gavana Mkuu huyo alisema Jamaica imeamua kutoa nishani hiyo kwa kutambua uongozi imara na uliotukuka wa Rais Kikwete katika nyanja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…