Nimesoma makala hii katika raia mwema la jumatano tarehe 26/08/2009. Umuhimu wake katika kujaribu kuwakumbusha viongozi wetu vipi wanatakiwa kuondokana na fikra za bwana mkubwa ndiye alfa na omega...
Wana forum hamjambo?
Nilipote kidogo nilikuwa naandika ripoti kuhusu utekelezaji wa Mkakati wa Kuendeleza Maeneo yaliyoko Pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam. Kama mtakavyokumbuka maeneo ya...
Kwa kuwa katiba ya nchi hii inatambua kuwepo kwa mihimili mitatu ya dola, yaani serikali, Bunge , na Mahakama, na kwa kuwa mihimili hii mitatu inapaswa kufanya kazi bila kuingiliana ila...
SALIM SAID SALIM
RIPOTI ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kwa mwaka 2007/08 ilieleza kuwa zaidi ya sh milioni 100 (nyingi sana kwa Zanzibar) zilitumika visivyo...
Issue ya Lilondo ni mwendelezo wa UFISADI HAPA NCHINI, Mheshimiwa Mwinyi ndo aliingiza ufisadi na Mwl Nyrere KUFUMBA MACHO MASUALA AMBAYO MWINYI ALIYAFANYA. Mwinyi aliwapa waarabu na kumiliki...
Hidaya Kivatwa na Salim Said
http://www.mwananchi.co.tz/newsrids.asp?id=14158
SHURA ya Maimamu wa Tanzania, kesho inatarajia kuzindua rasmi mwongozo kwa Waislamu kuhusu uchaguzi mkuu wa 2010 na...
Egypt's call to kill pigs amid flu scare ridiculed
By TAREK EL-TABLAWY, AP Business Writer
Fri May 1, 3:27 am ET
CAIRO Egypt's government was hoping to look strong and proactive in the...
A GROUP of Zanzibaris led by Mr Rashid Salum Adiy have written to the United Nations (UN) Secretary General, Mr Ban Ki-moon, demanding him to define Zanzibar's geographical sovereignty...
Na Salim Said Salim
KIFUPI cha marefu, mkato wa maneno na kurahisisha magumu yawe mepesi, nasema Zanzibar hakuna uchaguzi bali "uchafuzi."
Inazoeleka kuwa kupiga kura si haki kwa raia, bali zawadi...
salim said salim, zanzibar
NI kawaida katika nchi nyingi kusikia taasisi za ndani na nje zinafanya utafiti wa masuala ya siasa, uchumi, utamaduni, michezo na burdani na kutoa matokeo.
Zanzibar...
Yale yaliyotokea Dodoma, ya CCM kumgombeza Sitta, ni ya Tanzania ya jana. Kuna wanaojifanya vipofu na kutufanya tufikiri bado tunaishi Tanzania ya jana. Ukweli ni kwamba Tanzania ya leo si ya...
Kijarida chako ukipendacho kimetoka; jipatie nakala yako, wasambazie wengine, na waalike wajiandikishe waweze kupata dozi ya fikra mpya za mabadiliko ambazo hutangulia mabadiliko ya kura!
Wakuu nilikua najiuliza inakuwaje unakuta mtu ni Mbunge halafu hapo hapo ni mkuu wa Mkoa? Je kati ya watu million 40 hamna mtu mwenye uwezo wa kushika cheo komojawapo? Je inakuaje kuhusu haya...
Tukiwa bado tuna majonzi kwa wanafunzi walio ungua moto bwenini shule ya sec. Idodi, CCM wametoa mkono wa pole 70,000/= ametangaza mwenyekiti wa CCM Mkoa Iringa Jah People huku shule ya msingi...
Kumekuwa na kasumba hapa nchini kwetu ya kuwakaribisha kwa bashasha esp kwa watu walioweza kufanya mambo fulani makubwa. Hilo sikatai lakini jeh, kuna haja ya kufanya zaidi ya hapo? Kwa mfano...
Do y'all real wanna know?
If everybody gave up!
1. We wouldn't have had satelites
2. We wouldn't be driving convertibles
3. We wouldn't have had HD Technology
4. We wouldn't have had...
Katika hali ya kuonyesha kuwa uongozi wa CCM hauheshimu Katiba wala Utawala wa sheria, umetoa ifuatayo kama taarifa rasmi ya vikao vyake vya Dodoma:-
Kwa kutambua kuwepo matatizo ya matamshi na...