Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

"Do you want to vote for the president who keeps mafisadi wakipeta ?" "Do you want to vote for the president who afraids to take action on wala rushwa ?" "Do you want to vote for the president...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unayo: 1. Ihifadhi vizuri kwenye sefu! 2. Katu usikubali kuwauzia mafisadi! Na kama huna: 1. Jiandikishe upate hati yako! 2. Kamwe usikubali kutojiandikisha...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
2009-08-17 07:59:00 Elders' wisdom save CC meeting CCM Central Committee members Ali Ameir Mohammed (left) and Abdulrahman Kinana chat in Dodoma yesterday. By Faraja Jube, Dodoma THE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata taarifa kuwa kamati ya maadili ya ccm yenye wajumbe kama 11 hivi wakiwamo maraisi wastaafu inajumuisha pia lifisadi papa andrew chenge hivi huku si ni kuwachezea watz, chenge ana morality...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sheria ya Kuzuia Rushwa imeainisha majukumu ya Kikosi cha Kuzuia Rushwa kwamba ni: - (a) Kuchukua hatua zifaazo zenye lengo la kuzuia rushwa katika sekta za Umma, Mashirika ya Umma na Sekta...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
..I never knew about this. ..hivi kuna wana-Historia wanaoweza kutuhabarisha zaidi kuhusu matukio kama haya ktk maeneo mengine ya Tanganyika. Kanisa likiona watu wanataka kurudi kwenye utumwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri Masha afichua siri na Peter Nyanje Tanzania Daima RIPOTI ya Kamati ya Kupitia Mikataba ya Madili iliyoongozwa na aliyepata kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Lawrence Masha...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mataifa 15 na jumuiya moja ya kimataifa, wamezitaka Serikali mbili za Tanzania kuhakikisha kila mwananchi mwenye haki ya kushiriki uchaguzi mkuu mwakani anaipata na kuvitaka vyama vya siasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KILA jambo lina wakati wake na ukifika halizuiliki. Serikali inaelekea kuanguka. Dalili zinaonekana wazi kadri siku zinavyosonga. Ni vigumu watu kusahau kwa haraka, suala la kampuni ya kufufua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Orodha ya MAFISADI WALIOKUBUHU 1. Zakhia Meghji:- (A) aligawa holela vitalu vya uwindaji akaipotezea Tanzania Tsh 3,304, 903,050/- akiwa waziri wa Mali Asili na Utalii.Ovyo zaidi hata...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Miezi kadhaa iliyopita SUMATRA walitangaza kushuka kwa nauli za mabasi zikiwamo daladala ambapo safari zilizonyingi ndani ya Dar ni Tsh. 250/=. Madreva wa daladala kwa kujua kwamba SUMATRA ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu! Nathamini sana michango yenu katika jamii ya Tanzania. Wadugu,uchaguzi unakaribia,imekua ni mazoea kama sio utamaduni, kuona jukumu la kupiga kura linachangiwa kwa kiasi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Uchaguzi unakuja, pombe, pilau, kanga na fulana! Ayub Rioba Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Agosti 5, 2009 TUNAHITAJI fikra mbadala katika siasa zetu. Hili ni dhahiri. Nilijaribu kujadili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeionya Jumuiya ya Nchi za Ulaya (EU) na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania kutoiingilia kabisa mambo yake ya ndani na pia imeuponda utafiti wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
BAADHI ya Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) wameshtushwa na ripoti za utafiti zilizotolewa na Kampuni ya Synovate ambayo imempa nafasi kubwa ya uongozi katika uchaguzi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Membe angekua na akili hata za kuazima toka kwa Mkullo wizara ya mambo ya ndani wangekuwa na website ya kutuonya kuhusu UK na haswa kutuambia: WAINGEREZA WANAONGOZA KWA KULAWITI WATOTO WADOGO...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajf ongozeni nchi tungeanzia wapi? Kama tungekuwa viongozi wa Tanzania. Kubadili katiba ya nchi? Kuwakamata Mafisadi wote? Kurudisha nyumba za serikali? Kufukuza wawekezaji wa Madini wote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu mheshimiwa amekuwa kama vile Lowassa kila kukicha yuko safari hivi saa ngapi anakaa ofisni na kufanya paperwork? Halafu I am still tryying to figure him out..lakini sijui but something is...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Leo najiuliza swali jepesi nikiendelea kuandika makala mpya ambayo inakusudia kwa mara nyingine kuamsha mawazo na kuchochea hisia za ndugu zangu watanzania tunapoifikiria nchi yetu. Chama cha...
0 Reactions
192 Replies
22K Views
CCM inazidi kupoteza sifa zake kutokana na Viongozi na wanachama wake kutosema ukweli kuhusu ufisadi,ubinafsi na kujilimbikizia mali. Wanaoipotezea sifa CCM ni hawa tu au kuna wengine? Angalia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…