Jana akiwa anahojiwa na waandashi wa Alasiri alisema endapo watamchukulia hatua yoyote kwa yale aliyoyasema Bungeni basi watazomewa na wananchi kama walivyozomewa katika lile sakata la Buzwagi!!!
Ni hivi karibuni tumesikia habari za mawaziri na wabunge nchini UK kujihudhuru kutokana na kudai na kopokea marupu marupu kwa njia za kiujanja ujanja.
Kwa serikali na bunge la tanzania ambavyo ni...
We call them failed billionaires and Failed millionaires,Je Tanzania tutafuata mfano kwa kumfikisha RA mahakani?
BBC NEWS | Americas | Billionaire Stanford 'not guilty'
I cant wait kuona...
Mwl. JK Nyerere aliandika kijitabu kidogo kiitwacho "Uongozi na Hatima ya Tanzania".
Juzi juzi hapa habari ya Zimbabwe ikiwa joto juu Mzee Mandela akiwa huko London kwenye Birthday yake alisema...
Observer
President angry after Deputy Speaker quarrels with Information Minister as he watches spectacle
A burst-up between the Deputy Speaker of Parliament, Rebecca Kadaga and Information...
Kwa jinsi ambavyo aliyekuwa mbunge wa Tarime kupitia chama cha wakaskazini marehemu CHACHA WANGWE alivyokuwa katika malumbano na watendaji wa chama hicho ambao zaidi ya asilimia 98% wanatoka kanda...
===Is Godfrey Zambi a HERO!!?!?!?++++
24th June 2009
The scam on the controversial extension of the Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) contract re-surfaced yet again...
Katika ukurusa wa comments kwenye KLH News.. kuna mtu kanitumia ujumbe huu akijibu hoja zangu kuhusu "Mashariki ya Kati: Tanzania tuko Upande Gani?"
Anajiita "Statesman"
"Yap in response to ur...
Katika gazeti la MwanaHalisi la leo habri kuu ya ukurasa wa mbele ilikuwa na kichwa cha Habari "Rostam azimwa." Hii kutokana na ruling ya Mahakama y rufaa ya rufani ya gazeti hilo dhidi ya Rostam...
Hi ni mwanachama mpya na naingia na changamoto ushauri kwa watu wote amabo jamii inawachukulia kama kioo. Hapa namaanisha watu kama wabunge, wasanii, vingozi wa masharika mmbali mbali ya...
Wandugu, nina swali la muhimu sana.
Watanzania wengi sana wanapenda kujadili na kuona kuwa SIASA ndio kila kitu.
Kinyume na hilo waTanzania wengi ni wavivu ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya...
MPs grill govt on corruption: Demand detailed official progress report on the war against the vice
THISDAY REPORTER
Dodoma
MEMBERS of parliament have warned the Government against a...
OPIYO OLOYA
PERSPECTIVE OF A UGANDAN IN CANADA
Tehran is burning. It is burning for the same reason that Kiev turned orange in December 2004 through January 2005...
Wabunge Fungeni Virago Mwende Kwenu!
Na Padri Privatus Karugendo
KATIKA hali ya kawaida hakuna Mtanzania aliyekuwa na imani kwamba Wabunge wetu wangeweza kukwamisha Makadirio ya Mapato na...
Leo kuna mdau hapa JF kasema kitu ikanifanya nifikirie hili swala. Je ikatokea chama kimoja kika shika serikali na kingine kikawa na idadi kubwa zaidi ya wabunge ina faida? Mimi naona hapa...
Kama wabunge wanaona Serikali inapaswa kulaaniwa, basi walishalaaniwa siku nyingi...au imeonewa?
Hata hivyo laana isiyokuwa na sababu haimfiki mtu?
Labda tujadi pia hapa kidogo kuwa ni kosa...
watz wenzangu nimesikitika sana kusoma habari hii kwenye bajeti yetu ya mwaka huu.Baada ya serikali kutenga bilion 34 kwa safari za nje;ngoma haikuishia hapo,pia ikatenga jumla ya billion 19 kwa...
BAJETI imeleta kiwewe.
Wabunge wamekuwa mbogo kwa kuikamia serikali
Kila mmoja anaongelea masuala ya jimboni mwake kana kwamba uchaguzi mkuu ni kesho.
Ndani na nje ya bunge, wabunge wanaonyesha...