Oil falls below $67 a barrel on demand worries
Thursday, October 23, 2008
Oil prices plunged to their lowest in 16 months Wednesday as global economic worries led investors to predict a further...
Mbunge Mnyaa aishangaa serikali kuhusu maagizo ya Richmond
Na Kizitto Noya, Bukoba
MJUMBE wa Kamati ya Bunge iliyochunguza zabuni ya kufua umeme wa dharura iliyoipa ushindi Kampuni ya Richmond...
Wanachuo UCLAS wagoma
2007-02-23 09:29:20
Na Sabato Kasika
Wanafunzi zaidi ya 1000 wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ardhi na Usanifu Majengo (UCLAS), jijini Dar es Salaam, wamegoma kuingia darasani...
2008-11-24 16:48:04
Na Emmanuel Lengwa, Jijini
Mbunge wa CCM wa jimbo la Mufindi Kaskazini, Mheshimiwa Joseph James Mungai, ambaye Ijumaa wiki iliyopita alilipukiwa na mkazi mmoja wa...
Ukonga prison cells being prepared for `VIP` guests?
-Anticipated influx of high-profile prisoners charged with grand corruption
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
MAJOR renovations are...
The pitfalls of Africa's aid addiction
Advertisement
Secret filming of a chemist caught trying to sell aid
By Sorious Samura
BBC Panorama reporter
Where I come from in West Africa...
Naamini wananchi wa Tanzania walipokuchagua kwa wingi walikuwa na Imani Kubwa kwako kwamba Kiongozi ambaye wanayemtaka kuja kutatua matatizo yao ndio wewe JK japo nafahamu wengi walikuwa...
Ni John Malecela, mumewe Anne Kilango,
Ameona matatizo ya mgomo wa vyuo vikuu, akatafakari kwa makini, akaona kwake yeye suluhisho ni kuwafukuza wote walioogoma na kuwapa udahili wale ambao...
"Those thought most likely to abuse the immigration system, individuals applying for marriage or student visas, will be the first to apply for the cards, which will be issued from later this...
*YAACHANA NA MERCEDES BENZI
Na Ramadhan Semtawa
AWAMU ya nne ya Serikali ya Jakaya Kikwete, imeamua kuachana na magari iliyotumia kwa muda mrefu ya Marcedes Benz na sasa inatumia magari...
Nikitazama ndani ya ukumbi wa bunge la Tanzania na lile la Uingereza huwa najiuliza nani anastahili kupewa misaada ya maendeleo. Angalia hizo attachments.
`World financial crisis to hit Tanzania hard`
2008-11-25 11:05:43
By Sakina Zainul Datoo
The global economic crisis will likely affect small economies like Tanzania significantly, Prime...
Kuna tatizo serikalini-Pinda
Habari Zinazoshabihiana
Spika apiga marufuku mjadala wa Pinda 15.07.2008 [Soma]
Pinda ashikilia kauli yake kuhusu Zanzibar 11.07.2008 [Soma]
...
Source: Tanzania daima Jumapili, 23 Novemba 2008
Tusipotoshe hoja ya Ngurumo
Na Chacha Kisiri
Kwa heshima na taadhima naomba nijitose uwanjani katika malumbano ya kiuandishi yanayoonekena...
UH++++++++
Lusekelo Adam
Daily News; Saturday,November 22, 2008 @21:15
Higher Learning Institutes Integrity Committee (whatever that is) has blown the whistle on junior university...
Hivi sasa imekuwa kawaida kwa viongozi wa serikali kuinyoshea vidole serikali hiyo hiyo wanayoiongoza, je hii ni haki kwa wananchi ?
Je kuna uhalali wowote kwa serikali inayoshindwa kutimiza...
Katika awamu ya Tatu, tulikuwa na mikakati mingi kama ifuatayo: Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA), Mkakati wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara kwa Wanyonge Tanzania...
Nimesikiza TBC asubuhi hii nijisikia kukata tamaa. Ati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Wazazi Mkoa wa Tanga umeahirisha baada ya kura zilizopigwa kuzidi idadi ya wapiga kura!
Wagombea wa nafasi hiyo...
Imetolewa mara ya mwisho: 25.11.2008 0007 EAT
• Kuna tatizo serikalini-Pinda
*Acharukia ma-RC, ma-DC, wakurugenzi
*Asema migomo, maandamano ni kawaida
Na Mwandishi Wetu...