Nimekutana na habari hii kwenye Gazeti la Mwananchi inayotaja jina la Mh Mkuchika na kujiuliza kama ule "mgomo" umekwisha au laa
Serikali yajikuta katika mtego wa kuliadhibu gazeti lake
Na...
PCCB acts tough against corruption
ANNE ROBI
Daily News; Thursday,November 13, 2008 @21:15
The Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Dr Edward Hosea...
Hadi gazeti la Guardian litutangazie kuwa Waziri wetu ameficha Bilioni kisiwani Jersey (thanks Yebox2) wao kina RO walikuwa wapi?
Hadi Kamati Teule ilipotuambia rasmi kuwa RDC ni kampuni hewa...
hili ni mojawapo ya maswali ambayo bado sijapata majibu yake kwa hakika. Mara nyingi tumeona jinsi sekta binafsi (makampuni kadha wa kadha na watu binafsi) wakiunga mkono chama tawala aidha kwa...
Date::11/10/2008
Makamba chupuchupu tena
Na Ramadhan Semtawa, Dodoma
Mwananchi
NJAMA za kumngoa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba, zimegonga ukuta.
Kugonga...
Zanzibar ni nchi ndani na nje ya Tanzania
Hatukuchanganya utaifa bali uraia
Mjadala haujafungwa, bado unaendelea
Zanzibar daima jana, leo na kesho
Na Mohammed Khelef Ghassani...
Na Said Mwishehe, Majira
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Bw. Zitto Kabwe amesema anafurahishwa na hali ya mvurugano inayoendelea ndani ya Chama chaMapinduzi (CCM) na hasa kauli...
Sultan Seif Sharrif Hamad ameshachukua fomu za kugombea tena nafasi ya katibu mkuu wa CUF. Lipumba yeye amesema ataamua wiki moja kabla ya uchaguzi wa chama hicho ili kutowatisha wanachama wengine...
Gold has tailings
Anne Outwater
Daily News; Saturday,November 08, 2008 @21:15
I feel relief every time I read that the mining contracts are about to be reviewed. It may relieve some of the...
Wana JF heshima zenu wakuu .
Leo baada ya kuona Ngeleja kaanza kutoa matamko ya kugawa Umeme Mbeya vijijini huku akijua kwamba kuna moto waja nimekumbuka juu ya Jimbo la Ndugu Pharacy Kabuye...
BILA kutegemewa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye majira ya kama saa tisa hivi aliingia katika Kanisa Katoliki Msasani kuja muaga aliyekuwa mbunge wa Mbeya vijijini, Marehemu Richard Nyaulawa...
Hapa naomba ufafanuzi.Nimepita kwenye Michuzi blog nimekuta kuna taarifa na picha za kikao cha CCM kamati kuu kilichoongozwa na mkuu mwenyewe kimefanyika ikulu leo.Jamani naomba kufahamu kama ni...
ndugu wanaboard,
Nimekuwa nafikira njia ambayo tutaweza kuwafikia watanzania wengi katika mapigano haya ya fikra, na nikajaribu kuangalia wakati wa ukombozi ni njia gani ambayo ni effective...
NEC imeamua kuwa chaka la mafisadi?
Nkwazi Nkuzi
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
TAARIFA kwamba Waziri Mkuu mfukuzwa, Edward Lowassa, hakuwa na hatia bali alijiuzulu kuwajibika, ila...
CCM yaizidi kete CHADEMA, yabuni mbinu ya kupunguza wabunge wa upinzani
CCM imebuni kete mpya ya kuizidi CHADEMA na kupunguza nguvu ya upinzani bungeni. Katika mkakati huo mpya ambao umeshapata...
How the State trapped them
2008-11-09 13:56:45
By Staff Reporter
For nine months, local analysts and politicians have waited with baited breath to see if President Jakaya Kikwete would...
Kikao cha NEC Dodoma: CCM wasutana
na Mwandishi Wetu
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
MVUTANO mkali uliibuka jana katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC- CCM kuhusu mwenendo wa baadhi...