Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

We must safeguard our religious harmony 2008-11-09 13:48:22 By Imani Lwinga There is now concern that the religious harmony which this country has enjoyed prior to and after independence...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Date::11/8/2008 Utata wagubika zabuni ya usalama wa Benki Kuu Na Ramadhan Semtawa Mwananchi UTATA umegubika mchakato wa zabuni nyeti ya matengenezo ya mfumo wa usalama ndani ya Benki Kuu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kutafakari kwa undani leo nimeona wacha niulize hapa hapa nisikie wewe wasemaje. Waandishi wanachanganyikiwa na kushindwa kufuatilia matukio haya hadi mwisho ama ni kitu gani hutokea...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati JK anapigwa mawe na watu waliomchagua, Tazameni mwenzie Obama leo St Louis amabako umati wa watu LAKI MOJA walikuwa wanamsikiliza
0 Reactions
85 Replies
11K Views
Hii nyeti na Chazo ni kutoka ndani ya Jumba lenyewe husika TRC AKA TRL. Nimepatwa na mshtuko, kabla sijaweka mambo hadharani wakati naendelea kupata zaidi ushahidi kamili na vielelezo "SIRI"...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Austria's official state broadcaster is refusing to sack a senior political commentator who said blacks were not civilised enough to rule. Klaus Emmerich, the retired editor-in-chief of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Well, Tangu JK aingie madarakani na rafiki zake akuno lolote lile ambalo keshalifanya kwa ajili ya our national Interest be it domestically au Internationally. Najua wengi watashangaa kwa nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Najua wengine mtashangaa kwa nini Lunyungu anarudi nyuma lakini ni katika kuweka rekodi sawa .Ziara ya Kiongozi mkuu huyu iligubikwa na matukio mengi sana .Lakini TV yao yaani TBC walijitahidi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza hadi sasa sijapata majibu na labda kwa kuwa JF kuna wengi baso mengi yanaweza kuwepo pia .Nimeshuhudia magazeti na hasa TBC 1 wakiwa navipindi maalumu juu ya Uchaguzi wa USA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mafisadi wazidi kumtishia JK baada ya kuonekana anataka kuwamaliza kwa kusimamia kufutwa kwa wagombea wa Vijana wa Bara na kuwapa wa Zenji nafasi .Kufuatia ujumbe uliotumwa kwa JK baada ya Kikao...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ewe mola unaesikia sala za watu wako wa jf na mafisadi bila kubagua twaomba kwa nguvu zako na uwezo wako mbariki kijana wetu barack obama ashinde atika uchaguzi huu na kuwa rais wetu mtarajiwa wa...
0 Reactions
234 Replies
29K Views
Ndugu wanajamii wenzangu, Ni muda sasa kuna jambo ambalo limekuwa likinitatiza hasa pale ninaposikia maneno kama yule ni mkuu wa nchi anaweza kufanya lolote,usimcheze mtoto yule baba yake ni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu Heshima mbele!!!! Ninawataka radhi kwamba nilikuwa mbali kidogo ya mtandao na hivyo sikuwa katika mijadala kwa takribani wiki 5. hata nilipopata kanafasi kidogo kuingia hapa jukwaani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Makamba aigawa CCM na Mwandishi Wetu Tanzania Daima~Sauti ya Watu MGOGORO unaotishia uhai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeshika kasi baada ya baadhi ya wabunge wa chama hicho, kuzidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Mod na wana JF, natanguliza kuomba msamaha kwa kuanzaisha thread mpya though related to EPA, nina hamu sana ya kutaka kuwafahamu zaidi ya majina watuhumiwa wa sakata hili!!!!naomba yeyote anaejua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samahani Mod, imenibidi niitenganishe hii mada ili kuwaomba wadau na hasa Mwanakijiji kupitia KHL wawatafute hawa wazee ili watoe mawazo yao kuhusu IOC kwa sababu zifuatazao:- KAWAWA Ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
DECISION ON BERTH 8 OF TPA AS PART OF TICTS CONCESSION EXTENSION ______________ The following are important observations The Decision: 1. PSRC has been informed that Berth 8...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This goes to Mbowe/CHADEMA and of course CCM and its crew Anyone?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani hii habari imenishitua sana, nadhani huko CCM mambo si shwari na hili ni gazeti la serikali. HabariLeo: Gwiji la habari Tanzania | Kundi la wabunge CCM lasuka zengwe la EPA Kundi la...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…