Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

..kwa sababu imeenda kutembelea Kiwira Coal Mining inayomilikiwa na Mkapa na Daniel Yona katika mazingira ya kutatanisha basi ni lazima wawahoji Mkapa na Yona ni vipi waliweza kumiliki mgodi huo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kufuatilia mihangaiko ya Mh.Kikwete nimeona zile safari safari zake zilikuwa na lengo la kuwapa mwanya Mawaziri na alikuwa akipima uwezo wao wa kufanya kazi bila ya kuwepo yeye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunge Wa Moshi Mh. Ndesamburo Ameomba Mwanasheria Mkuu Na Mkurugenzi Wa Takukuru Wawajibishwe Pia, Na Kwamba Hili Ni Dili Limefanyika Na Ameomba Hatua Za Kisheria Zichukuliwe Kwa Wahusika Wote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ebwana eehh hapa JF kama unavyojua kama server iko chini wengine hatuna pa kwenda Nimejaribu kwenda KLH news nimeona hakuna forum sasa ushauri wangu wewe unganisha LKH news na GUMZO ili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepata nafasi ya kusikiliza mahojiano ya Rais na waandishi wa habari wiki iliyopita. Cha kushangaza ni kuwa magazeti yaliandika kuwa Rais kasema "silivunji baraza" au "havunji Baraza" n.k Ukweli...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Baada ya hekaheka ya pale Bungeni Dodoma naona huu ni wakti mzuri wa kukaa kitako na kuunda baraza jipya la mawaziri tena dogo lenye idadi ndogo ya mawaziri na manaibu. Halafu pia naona raisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Haya kumekucha jamani, baada ya jana pirika za kuipitia ripoti ya RICH-MONDULIS leo ni siku nyengine ya kuijadili. Mliopo DODOMA tuleteeni DATA kunani HUKO? Mheshimiwa Spika, kutokana na madai...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakati wa sakata la zito kuhusu Buzwagi, viongozi wa serikali kuanzia rais, waziri mkuu na wengine kibao walizunguka nchi nzima wakitetea kwamba mkataba ni mzuri hauna shida. Sasa leo wanasema...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
HOFU YANGU NI MSIMAMO WA CHAMA KUTAWALA WAKATI WA MAJADILIANO Wabunge CCM wajipaga kuikabili joto la Kashfa ya Richmond Na Tausi Mbowe, Dodoma SOURCE: MWANANCHI WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Bunge limeanza sasa na Sitta asema kwa nini amevunja safari ya Marekani .Kasema alialikwa chakula huko kwa mujibu wa taratibu za US. Pia ameomba radhi kwa kumtumia neno Kukurupuka na yeye...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
CAPE TOWN (Reuters) - Barrick Gold Corp. (ABX.TO: Quote), the world's biggest gold miner, said on Tuesday it expected its Buzwagi gold mine in Tanzania to be in production next year at a cash cost...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wabunge roho juu Dodoma na Mwandishi Wetu Tanzania Daima HALI ya mambo katika Manispaa ya Dodoma ni tete, baada ya taarifa kadhaa za kushtua kusambazwa miongoni mwa wabunge kuhusiana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Waandishi Wetu Mwananchi KITENDO cha Spika wa Bunge Samwel Sitta kumkataza Naibu Spika wake Anna Makinda kusimamia mijadala mizito inayohusu ubadhirifu katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Source: ITV news Jana jioni kuliripotiwa kuzuka kwa vurugu la kukata na shoka kati ya raia na mgambo wa manispaa ya Kinondoni katika ofisi za mkuu wa wilaya hiyo. Chazo ni baada ya mgambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mara ya 3 mfulizo kwa nyakati tofauti nimefika katika kituo cha Polisi cha Buguruni na Selandar Bridge. Ndugu IGP, napenda ujue kwamba baada ya Rais kuugawa Mkoa wa Dar na kuweka madoiko kibao...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zinazoifikia skwadi ya uchunguzi ya JF zinasema kuwa Kikwete anapanga kuzunguka dunia kutangaza uteuzi wake wa kuwa kiongozi wa AU ooooopppppsssss kusuluhisha migogoro ya nchi mbalimbali na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Naona spika ameamua kuahirisha safari ya marekani na kurejea bungeni kesho huenda hii ni kutokana na hali halisi ya bunge na mjadala wa jana na wabunge kushinikiza waletewe ripoti ya richmond...
0 Reactions
93 Replies
12K Views
Ndugu zangu wana JF, nawaombeni tusingoje serikali yetu imrudishe Balali. Na inawezekana wasifanye hivyo. Naomba tuamzishe kampeni ya kumrudisha huyu mfisadi Bongo ili aweze kutoa nyaraka zote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JK ameona madhara ya viongozi wa kitaifa kufanya biashara na sasa anawashukia kama mwewe. Habari zaidi saa 2.00 usiku. Hata hivyo tukumbushane hoja nyingine ya Zitto ilivyozimwa na Ofisi ya...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Mbunge ODM ahutubia Dar aomba majeshi ya AU kwa Kikwete * Kalonzo aenda Ulaya, Marekani kurekebisha mambo Na Waandishi Wetu MBUNGE wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) cha nchini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…