Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakati upelelezi mwingine unaendelea juu ya Sakata la kutekwa na kuteswa kwa Kibanda, ikiwemo kuhojiwa kwa Maggid Mjengwa, tujikumbushe kuwa Kibanda ana kesi. Tena kesi ya uchochezi inayolihusu...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kikwete visits TEF chairman in South Africa President Jakaya Kikwete has visited in hospital the chairman of Tanzania Editors' Forum (TEF) and Managing Editor of New Habari (2006) Corporation...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwanahabari Absalom Kibanda TAARIFA ZA AWALI Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya New Habari wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania...
31 Reactions
537 Replies
46K Views
ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response...
0 Reactions
5 Replies
212 Views
Njia bora ya kuondoa ombe na uongozi nchini hasa kwa Viongozi wa CCM ni kuhakikisha katiba Bora inapatika. Uchaguzi ambao ni huru na haki (transparent election) (free and fare)unafanyika na...
2 Reactions
5 Replies
134 Views
Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge...
2 Reactions
47 Replies
979 Views
WANABODI, Usalama wa viongozi wa chama kikuu cha upinzani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upo hatarini.Akiwa njia ni kutokea Iringa, Dr. Slaa amefuatiliwa na Gari aina ya Landcruiser...
26 Reactions
399 Replies
24K Views
Akichangia ktk topic iliowekwa ktk mtandao wa X na mwanaharakati na rafiki wa karibu wa Tundu Lissu bibi Maria Sarungi, Rais wa TLS ameandika kwamba kuna watu wamesambaa ktk mitandao ya kijamii...
2 Reactions
4 Replies
350 Views
Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum. Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum...
2 Reactions
5 Replies
175 Views
Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
1 Reactions
2 Replies
355 Views
Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso...
8 Reactions
30 Replies
588 Views
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai Mpina ni...
6 Reactions
65 Replies
2K Views
Taarifa ya Chadema inayosambaa Mitandaoni inaeleza Kwamba, Derrick amefikwa na Umauti kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, haikutajwa sababu ya kifo hicho. Kwa Vile kufanya kazi ya Chadema ni...
12 Reactions
127 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria ndugu Ezekiel Wenje amesema Uchaguzi umeisha sasa anampa ushirikiano mkubwa mwenyekiti Lisu na Makamu Heche Kwa 100% Wenje amesema Kuna SIASA za Joto la...
2 Reactions
19 Replies
759 Views
Ni miaka 63 sasa CCM ipo madarakani. Kimsingi hakuna maendeleo ya maana CCM iliyotuletea, isipokuwa bla bla nyingi miaka nenda miaka rudi na kuturudisha nyuma kimaendeleo miongo kadhaa. Kila...
30 Reactions
206 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais Tanzania Bara Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema CCM Haifanyi siasa za matusi kwani ni Chama cha Mfano...
2 Reactions
6 Replies
224 Views
Historia imeandikwa, historia imevunjwa chini ya Mh John John Mnyika Katibu Mkuu wa Chadema. Mnamo Tarehe 21 January 2025 kulifanyika uchaguzi Mkuu katika Chama Hicho. Uchaguzi huo ulijaa kashi...
12 Reactions
54 Replies
1K Views
Msikilize mwenyewe hapa chini.... https://youtu.be/Isx1OohuSwE?si=yDdIPiWbPnwjTXpg
6 Reactions
42 Replies
915 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya maafisa wa Jeshi la Polisi kuhusishwa na vifo vya vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kucheuka (22) waliokuwa...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Watu wawili Wakazi wa mtaa wa Majengo, kata ya Vingunguti, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam wamefariki baada ya kupigwa risasi jioni ya Jumatano, Desemba 27.2023. Akizungumza na Jambo TV leo, Ijumaa...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…