Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amesema Rais Samia Suluhu Hassan alitumia njia ya maridhiano kuwapa upofu kwa muda wapinzani ili aweze kujipanga kukabiliana nao.
“Kumbe...
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za...
Baada ya Uchunguzi wangu wa kina nimeamua kwa dhati kabisa kuunga Mkono na Kupongeza Uamuzi wa Serikali ya Marekani kuondoa misaada yote kwa Nchi za kiafrika.
Hii ni kwa sababu misaada hiyo...
Wateule wa Rais wanakopeshwa Madaraka ya usimamizi tu lakini Mamlaka yote Yako Kwa Rais wa JMT
Hivyo ni Sahihi Kabisa kila Waziri anaposimama bungeni kumsifia na kumshukuru Rais Kwa kazi njema...
Wakuu
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma kikiongozwa na Mwenyekiti wake Comrade Oddo Mwisho kimefanya Maandamano ya amani yenye lengo la Kupongeza na kuunga mkono Azimio la mkutano mkuu Maalum wa...
Kuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku! Leo roho wa Mungu amenisukuma niseme na mtumishi wa Mungu Akofu jophate Gwajima.
Upo ccm huna amani, huna furaha, huna uhuru wa kusema uovu...
Huyu jamaa anajiita mtaalamu wa Protocol za uongozi Abobakary Mtandika,. binafsi ni jamii ile ile ya machawa tu.
Soma Pia: Gharama anazotumia Rais kusafiri nje ya nchi zinarudishwaje?
Akiwa...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameupongeza uongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bukombe kwa Mkutano Mkuu Maalum wa kutoa taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
Hamjambo wote!
Lazima Tafiti, chunguzi na tathmini zifanyike. Tujue Watanzania ni nini wamebarikiwa na kile wanachoweza kulifanya to the most. Kisha tungalie ni nini tunacho katika nchi yetu...
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge...
Ukweli ni kwamba mimi nikisikia mwanasiasa yeyote sijui katekwa sijui kapigwa sijui kafariki sishtuki hata kidogo na hata tone la huruma halinijii najua ni matokeo ya ugali wanaoutafuta kwa hila...
Kwa mara ya kwanza nimemsikia huyu jamaa kwenye siasa za Mbeya, ni kwenye yale Maigizo ya Tulia Ackson kwenye Ngoma za Asili, kugawa cement kwenye shule mbalimbali na kubeba Majeneza.
Sasa leo...
Wakuu,
Kama mnavyojua watuhumiwa wa tukio la utekaji wa Talimo kule Kilivya, Benki na wenzake 5 walikamatwa Disemba 4 na kufikishwa mahakamani Disemba 6.
Ikumbukwe kuwa dhamana yao ilikuwa wazi...
Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno!
Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu.
Ama kwa hakika Tanzania mpya...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Thobias Makoba (kushoto) akikabidhiwa nyaraka na Bw. Mobhare Matinyi (aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na...
Niangalia Bunge linavyokwenda na uchawa ulivyoshika kasi Mbunge ambaye naona ana uhakika wa kurudi bungeni kama upepo usipokuwa mbaya ni Waitara, Kingu, Msukuma na Shigongo.
uchaguzi wa mwaka huu...
Ni Lini Rais Samia aliwahi hata kusema nitagombea Urais ?.
Achilia mbali wanasiasa wote waliowah kua Marais, mwanzon kabisa walionyesha Nia zao, wakachukua Fomu n.k.
Rais Samia, anachaguliwa kua...