Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania chini ya IGP Wambura limetangaza mabadiliko madogo kwenye safu za uongozi wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Katika mabadiliko hayo:
Naibu Kamishna wa Polisi...
Naona sasa hivi watu wako bizee kumpigia chapuo mwenyekiti wa CCM ili achaguliwe na wananchi ifikapo October mwaka huu.
Hali hii inaonekana kwenye comments za vijana wa kijani ambao kila hoja...
Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote...
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.
Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
Wakuu Pascal Mayalla wa Tanzania na Nyani Ngabu wa USA naombeni uzoefu wenu kidogo Ili nielimike katika haya majambo ya executive orders
Na wengine Wote karibuni ukiwemo Kijana wa Mbowe Mh...
Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo,
Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutanon wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Harare Nchini Zimbabwe, leo tarehe 31 Januari, 2025...
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dkt. Leonce Mujwahuzi amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa imara kutokana na kuwa na utaratibu mzuri wa kuchagua viongozi wake kwa...
Wakuu,
Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa...
UTANGULIZI: Mwaka huu 2025, Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge wake. Ni muda muafaka kwa vyama vya siasa kujinadi na sera zitakazoleta Maendeleo kwa Taifa letu ndani ya miaka...
Tusiweke matumaini makubwa kuhusu summit meeting ya kesho.
Jambo moja tunaweza kuridhika ni kwamba kwa kusikiliza ripoti nyingi tunaweza kuona kwamba wapo viongozi wa Jeshi la Kongo ambao sio...
Nawashauri tu wanaoppteza muda wao kudhani kwamba wanaweza kupambana na Tundu Antiphas Lissu.
Sauti kutoka Within inasema kamwe hamtafanikiwa mtapoteza muda na rasilimali zenu.
Kwani huyu Mtu...
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi...
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.
Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi upande wa CCM kila wakifanya mkutano kiongozi husika anapotishwa bila kupingwa kienyeji ama anaombewa kisayansi kupitishwa bila kupigwa!
Ilianza kwa Samia na Mwinyi...
Wakuu,
Wanawake Dar mmeamua haya na mi sijui, kuna watu wana siri...nimelia sana:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
=====
Wanawake wa jijini Dar es Salaam, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa...