Wakuu ,Nimefuatilia hotuba za Mh Wasira anapokuwa katika majukwaa nikajiuliza je amechelewa kuwa Makamu Mwenyekiti??Je ni kwamba CCM hawana mtu mwingine katika kushika wadhifa huu ambaye bado...
Kumekuwa na michango Mizuri kutoka kwa wabunge wetu,lakini pia kumekuwa na michango ya wabunge ambayo aijeng na aiwasaidii wapga kura wao,hivyo nimeona hapa tuwe na jukwa huru kuleta mawazo...
Hekima imenionyesha, nikujulishe hilo, yaani upiganie wabunge 20+ na madiwani wa kutosha ili upate nguvu ya kuweza kusonga mbele na kukijenga chama kwa umaridadi zaidi, kwa msimamo wako huna uwezo...
Utangulizi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na historia ndefu na yenye umuhimu katika siasa za Tanzania. Hata hivyo, kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu ufanisi wa...
Fikiria hawa ni raia wameuawa na M23 huku askari wetu wawili wa JWTZ na askari wanne wa South Africa waliokuwa wakiwalinda raia nao wakiuawa kikatili.
Nchi ya Congo ingekuwa haina madini na...
Kitendo cha serikali ya Magufuli kununua ndege za biashara halafu kwa kipindi kifupi biashara ikatoa majibu kuwa ni biashara kichaa lakini serikali yake ikaendelea kuagiza ndege zingine...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni ushauri tu Kwa mujibu wa uhuru niliopewa na Katiba
Itapendeza katika ibadikishwe na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania achukue nafasi ya Rais...
Alhamisi, Aprili 25, 2024
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
Ndugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi...
Magari ya umeme ndio future ya usafiri ilipangwa kwa sasa; hata wanaozalisha magari wengi wao wanaweka 'hybrid systems' ili hayo magari yaweze kutumika hata pale magari yenye sumu ya moshi...
Nimekubali hakuna biashara inayolipa vizuri kwa sasa kama ubunge. 200,000 kwa siku? Enough is enough!
Kikao cha Bunge kikiendelea mjini Dodoma
ZAPANDA KUTOKA SH70, 000 HADI 200,000, NI ZAIDI...
Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, Hussein Nassoro Kassu, ameonya baadhi ya watu wanaoeneza madai ya uongo kuhusu matumizi ya mfuko wa jimbo, akisisitiza kuwa iwapo yeyote atabainika kusambaza...
Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao...
Habari wana JF;
Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda...
Sikuacha za Professor Jay...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amesema kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya "No Reform, No Election" inaonesha dalili za woga, akisisitiza kuwa CCM ina uzoefu wa...
Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi...
Wakuu,
Hivi Rufiji kuna wasanii wengi eeeh kiasi kwamba demand ni kubwa sana? Wanarufiji mambo yote safi mpaka wameomba wajengewe studio🌚
===
Waziri wa TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji...