Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wanabodi, Hii ni Mwananchi ya leo Naendelea na zile makala zangu za KMT, (Kwa Maslahi ya Taifa) za uelimishaji umma kuhusu katiba, sheria na haki, leo nikiendelea na ile mada ya wiki iliyopita...
4 Reactions
8 Replies
566 Views
Serikali imeanza kujenga shule ya Sekondari Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe ili kupunguza adha ya watoto kusafiri umbali wa takribani Km 15 Hadi Manda Sekondari na Km 30 Hadi Mchuchuma kupata...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Kwa KWELI CCM imekuwa ikitutia aibu kila uchao mbele ya wageni kutoka nje ya taifa letu na wahisani wetu. NI aibu sana kwa nchi fukara kama hii, chama tawala kwenda kununua mabasi ya kifahari kwa...
7 Reactions
20 Replies
433 Views
Wanacha wa tlp wachachama mikoani wamkalia mwenezi kooni Pia soma > Msajili wa Vyama vya Siasa alalamikiwa kusimamia uchaguzi feki wa TLP TAARIFA KWA UMMA YAH: KUTOLEA UFAFANUZI WA UHALALI WA...
0 Reactions
5 Replies
550 Views
Kushiriki siasa ni haki ya kila mtu, bila kujali jinsia. Wanawake wana mchango mkubwa katika jamii, na ushiriki wao katika siasa huleta uwakilishi wa kina na maamuzi yanayojumuisha maslahi ya...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru...
0 Reactions
6 Replies
261 Views
Akiongea na wananchi wa Bugarama Halmashauri ya Geita Vijijini, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu leo Jumamosi ya Agosti 5, 2023 amesema kuwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati John...
46 Reactions
696 Replies
48K Views
Wakuu, Jana kulikuwa na uzinduzi wa vitenge maalum kwa ajili ya siku ya wanawake. Malalamiko yalijitokeza kuhusu vitenge hivyo kuwa na picha ya Rais ilhali tukio lilikuwa ni la kitaifa na sio la...
0 Reactions
5 Replies
413 Views
Wakuu niaje? Nimekutana na clip ya Sheikh Kishki akisema kuwa Uchawa (kujipendekeza kwa watu ili update maslahi kumekatazwa katika Uislam). Vipi kuhusu viongozi wetu wa dini ambao wamekuwa...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Na, Laudence Simkonda-Momba Condester Michael Sichalwe, anayejulikana kama Mundy, ni mwanasiasa mchanga na mwenye nguvu akiwakilisha jimbo la Momba mkoani Songwe, kama Mbunge, amejipatia umaarufu...
0 Reactions
4 Replies
188 Views
Salamu wakuu, Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia...
0 Reactions
10 Replies
242 Views
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaenda kutimiza miaka 48 tangu kuanzishwa kwake vijana wameshauriwa kutumia kwa faida mitandao ya kijamii ili iwanufaishe kwenye shughuli zao na shughuli za...
1 Reactions
2 Replies
125 Views
Mtaala mpya, Silabus mpya No vitabu shuleni No walimu semina Wakuu wa shule hawaelewi Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Watanzania tunajua kuwa kwa mifumo ya kiuchaguzi iliyopo hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki bali kuna kujiteuwa na kujipitisha. Moja ya mifumo hiyo ni pamoja na huu utaratibu wa tume huru...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Wakuu Hii Wasafi Media ibadilishwe tu ijulikane ni media ya CCM Soma: Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa? Vyombo vya...
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Baada ya hapo Kagame alipoa kama maji mtungini!
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh. Rosemary Senyamule Amewaomba Wakazi wa Dodoma na Wananchi Wote Kwa Ujumla Kufika Mapema Katika Maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yatakayo Fanyika...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza...
4 Reactions
8 Replies
435 Views
Hivi kwani ukiwa msanii ni lazima u support CCM wakuu? Jamaa kwenye mambo ya chama wapo mbele sana ila kwenye mijadala muhimu kuhusu taifa wapo kimya yani inshort ni kama roborts jamaa. Mastaa wa...
1 Reactions
24 Replies
594 Views
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anatarajia kuwasili kijijini kwao Ikungi Tarehe 15/02/2025. Lengo la ziara hiyo haikusemwa, bali inafahamika kote duniani kwamba hakuna anayewekewa masharti ya...
11 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…