Wakuu
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 3, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili hoja za kamati...
Iko habari inasema mpaka Leo Wahaya 2 wameisha fariki Dunia kwa maradhi ya Murburg na 92 wapo karantini
Nina hakika Mh hati Rais Magufuli Angekuwa hai angewauliza Wahaya kwa Nini maradhi kama haha...
NInavyofahamu Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama ni nafasi kubwa sana, uteuzi wake inabidi uwe wa umakini mkubwa na utulivu na siyo lazima ufanywe baada ya Uchaguzi tu kwa karibu nafasi zote kama...
Shirika linalosimamia Utalii Duniani limeipongeza Serikali ya Tanzania Kwa kuwa na sera Bora zinazovutia Watalii na kufanya Nchi yetu kushika nafasi ya 6 Duniani Kwa Nchi zilizovutia Watalii wengi...
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman Abdallah, amesema wanasiasa wa vyama vya upinzani hawana cha kuwaeleza wananchi juu ya kile walichokifanya, na kwamba...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda amempongeza Rais Samia Kwa kuleta Mabadiliko kwenye sekta ya Utalii ambayo yameleta mzunguko mkubwa wa hela Mkoani Arusha sanjali na kumimina wawekezaji...
Shirika la Fedha Duniani IMF linasema Mwaka 2024 utashududia uchumi wa Dunia ukipungua Kasi ya Ukuaji wake Kwa miaka 3 mfululizo.
Licha ya kupungua uchumi wa Dunia ila upande wa pili Kuna habari...
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar Es Salaam Hussein Egobano amewataka vijana wa umoja huo kufanya kazi ya kukijenga chama na kuacha kujiingiza kwenye kile...
Uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kuanzia mwaka 2025 kuzilazimisha nchi za Afrika kujitegemea kupitia kuzinyima misaada mbalimbali umeshaabiana na Uamuzi wa Rais wa tano wa Tanzania hayati...
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia...
Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais.
Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais?
Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
Jamani hivi hakuna mkono wa mtu yeyote ambaye anapata manufaa kwa wagonjwa kupelekwa kwenye hospitali hii??au nani anawaelewa wamiliki wa hospitali hii??
Waziri wa Biashara na Viwanda, Selemani Jafo, amezindua kamati ya kuchunguza biashara za wageni nchini Tanzania.
Hatua hii ni muhimu sana, hasa katika muktadha wa ongezeko la wageni kutoka nchi...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo, ameunda kamati ya watu 15 inayoongozwa na Edda Tandi Lwoga wa Chuo cha Elimu ya Biashara-CBE ili kuchunguza biashara za rejareja zinazofanywa na...
Kwanza nianze kwa kutoa orodha kamili ya makatibu wakuu wa CCM tokea ilipoanzishwa mwaka 1977 baada ya kuungana na ASP:
Ukiacha Pius Msekwa na Rashid Kawawa, Mwenyezi Mungu amweke mahali pema...
DR. BILALI-MAKAMU WA RAIS TANZANIA Dr.Bilali (born Mohamed Gharib Bilal), the nuclear scientist was born in Zanzibar in 1945 , was Chief Minister of Zanzibar from October 1995 to 15 November 2000...
Katibu Mkuu wa Jumuiya wa Watanzania Waishio Nchini China, Alawi Abdallah, ameeleza azimio la jumuiya hiyo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu.
Soma Pia: Wajumbe...