Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Hii sasa ni balaa, speed inatisha. Leo ni siku ya tatu nimeona video clips tatu za wasanii Mbali mbali wanaoigiza Sauti ya Adv Tundu Lissu. Kinachofurahisha zaidi ni wasanii hawa kuigiza maneno...
5 Reactions
6 Replies
691 Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Lupembe mkoani Njombe ambaye kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Njombe Jolam Hongoli amewataka Watanzania kuacha kufikiria kuwa...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa Tanzania haitakubali kulazimishwa kuiga tamaduni za mataifa ya Magharibi, ikiwemo ndoa za jinsia moja, na...
4 Reactions
79 Replies
3K Views
WAZIRI KOMBO AWASILI UAE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA UAE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Kipenga kimepulizwa, wito umetolewa. Shime kila mtanzania anayechukia wizi, ufisadi, uuzwaji wa rasilimali za umma kwa wageni, utawala usiozingatia haki na heshima anaombwa kwa unyenyekevu...
1 Reactions
7 Replies
227 Views
JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya...
1 Reactions
2 Replies
194 Views
Uamuzi uliotarajiwa kutolewa leo Januari 31, 2025 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye shtaka linalomkabili Dkt. Wilbrod Slaa ikiwa ni baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuagiza shauri la Dkt...
2 Reactions
93 Replies
4K Views
M23 wasije wakatawanya ndege zetu angani huko Congo
0 Reactions
0 Replies
118 Views
DC KILAKALA: UKUSANYAJI WA MAPATO KUSAIDIA MOROGORO KUWA JIJI Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Musa Kilakala amesema kuwa Manispaa ya Morogoro haiwezi kufanikiwa kuwa jiji pasipo na mipango thabiti ya...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Kupunguza umasikini wa hali ya juu . Tanzania pamoja na South Africa tuombe kwa congo kuwa watawala rasmi wa sehemu hii ya mashariki mwa congo kwasababu congo peke yake wameshidwa. Tanzania tuna...
0 Reactions
8 Replies
172 Views
Wakuu Mchungaji Mtikila aliwahi kuzungumza jambo zito sana miaka 12 nyuma leo Athari yake tunaiona ndani ya Ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa hakika yajayo yanafikirisha sana...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Naona kimya kimekuwa kikubwa? Baada ya kumgaraza Mbowe ktk media wakati wa kampeni hivi sasa amekuwa mnyonge sana. Na hata juzi wakati wa mapokezi ya Lissu alionekana mtu ambae asie na furaha...
3 Reactions
5 Replies
369 Views
Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini...
9 Reactions
64 Replies
2K Views
Serekali kupitia afisi ya waziri mkuu imetoa Tangazo la vijana miaka 18- 35 kujiunga vyuo vya ufundi katika mikoa na wilaya zilizo karibu na wao huku Serekali ikigharimia mafunzo hayo 100%...
2 Reactions
17 Replies
515 Views
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu...
2 Reactions
29 Replies
530 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Afya kukufua mazungumzo ili kuhakikisha kituo cha umahiri na ubobezi wa kimatibabu 'Apollo Hospital' kinajenga jijini Dar es Salaam na kukamilika...
1 Reactions
1 Replies
574 Views
Tuangalie safu ya vyama vyote Mwenyekiti wa ccm- amiri jeshi mkuu, Rais wa Tanzania. Mwenyekiti wa chadema- alikuwa mbunge, mwanasheria wa kujitegemea Makamo mwenyekiti wa ccm- waziri wa miaka...
1 Reactions
10 Replies
298 Views
CCM msijipe matumaini ya kushinda 2025 hakuna kijana tena msomi anaweza kuwapigia kura. Na mkiiba ndo mtajua nguvu ya vijana. Tumechoka sana. Hata ajira zinatolewa kwa kujuana tu
21 Reactions
134 Replies
3K Views
Wakuu, Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira ========================== Mwenyekiti wa Baraza la Vijana...
0 Reactions
9 Replies
412 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…