Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
11 Reactions
114 Replies
4K Views
Utangulizi Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Ujasiri ni Kitu kilichoumbwa ndani ya mtu mmoja mmoja Lakini Watu hao wakitambuana na kuunda kikundi ndio huwa kama Chama Cha siasa. Kwa Sasa pale Chadema naona wale Wanachama Jasiri wote wako...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI. Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa...
3 Reactions
32 Replies
846 Views
Mungu wa mbinguni azidi kukubariki na kukuzidishia Tena na Tena Nguvu zako za Mwilini na Rohoni Ubarikiwe sana Happy Birthday Rais Samia 🌹
3 Reactions
22 Replies
620 Views
Katika Dunia hii ya akina Howard Lutnick kiukweli Tanzania tunahitaji Waziri wa Biashara ambaye ni very smart Rostam Aziz anastahili jukumu hilo Ahsanteni sana 😄
5 Reactions
85 Replies
1K Views
Nchi zingine zote za Afrika Mashariki zimesharuhusu. Imesalia Tanzania peke yake. Kwa nini imeamua kujitofautisha? Labda ina akili kuliko nchi zingine zote zilizoruhusu au kinyume chake? Ya...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Eh kumbe kuna wanasiasa wanaifanya Tanzania kama geto? Hawa si wa vyama vya upinzani kweli? Mh namuona kama Lissu, Lema na wengineo linawahusu sana =============== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Wanakumbi. Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje...
5 Reactions
97 Replies
2K Views
Kivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili ================ Mbunge wa Jimbo la Kisesa...
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kwa kuzingatia matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, inatarajia kuandikisha wapigakura wapya 5,586,433 sawa na asilimia 18.7 ya wapigakura...
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Chama cha ACT Wazalendo inaitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoa taarifa rasmi kuhusu hali ya usalama ya wanajeshi wetu walioko katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri...
1 Reactions
11 Replies
984 Views
Mwaka huu iwe mwisho wa upinzani uchwara Tanzania kuingia kwenye uchaguzi kama hisani ! Wagombea ATI hawajui kujaza fomu ! Au Kuna mahali mtu anapita bila kupingwa ,au tunasikia mpinzani...
1 Reactions
13 Replies
329 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema anaamini uchaguzi mkuu utakuwa huru ambapo mwenye haki ya kushinda atatangazwa mshindi. Soma Pia: Amos...
1 Reactions
5 Replies
195 Views
MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
6 Reactions
96 Replies
4K Views
Naona jamaa yupo tu mstari wa mbele huko ziarani alipo Mh. Rais. Jamaa yupo bize na kalamu na karatasi anaandika tu kama Gerson Msigwa. Kitaalam imekaaje wakuu?
4 Reactions
71 Replies
11K Views
Anaandika Ngurumo kwenye X. Nimepigiwa simu na BAWACHA waliomtembelea Mwenyekiti Tundu Lissu jana. Ujumbe: "Tulienda kwa upendo, lakini tumeondoka na hisia za visasi. Uongozi mpya haumtaki...
8 Reactions
143 Replies
5K Views
Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu. Wanaishi kwa...
1 Reactions
8 Replies
267 Views
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri. Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini...
21 Reactions
335 Replies
33K Views
Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo? ================== Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…