Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri...
Wananchi wa vijiji vya Lwega na Mwese vilivyopo halimashauri ya wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamesema kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia inapaswa iwe endelevu kwani imewajengea...
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa...
Naona wazee wamesha lamba asali na imekolea utamu! Mpaka nao hawana maana wamekalia uchawa! Tunaenda wapi?
Taratibu CCM wanaanza kuingiza mambo za kupita bila kupingwa, tusipokaa vizuri hii...
Mjumbe Kamati ya Siasa (CCM) Wilaya ya Ubungo Hamis Abeid Baruani ameiomba serikali kutoa uhuru wa kufanyika kwa siasa za majukwaani ili Chama Cha Mapinduzi CCM kiweze kushindana kwa hoja na...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na...
Anaandika Lieratus Mwangombe
Yesterday, the High Court ordered the Kisutu Court to hear and process Amb. Dr. Slaa's bond today. Shockingly, President Samia's Govt has maliciously failed to bring...
Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.
Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
Nakumbuka namna Tundu Lisu alivyoufafanua mgogoro wa Palestine na Israel kupitia Hamas na IDF na kusoma mwishoni Hamas wataibuka Washindi
Na Kweli Hamas ni Washindi Kwa sababu Israel imetii...
Wiki hii taarifa kutoka shirika la misaada la USAid kwenda kwa Taasisi mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Benjamin Mkapa juu ya kusitisha ufadhili wa miradi inayohudumia waathirika wa ugonjwa wa UKIMWI...
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
Akiongea Ukurasani kwake X mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema Kigoma Ujiji ndio palikuwa Makao makuu ya DRC Mashariki zamani Zaire
Kwa Sasa DRC Mashariki ndio huko Goma...
Askofu Mwamakula amesema aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Bawacha Celestine Simba hajakata rufaa Kwenye chombo chochote dhidi ya Mwenyekiti wa Bawacha Sharifa Suleiman
Askofu Mwamakula amesema...
Kuna watu wanaamini Tundu Lisu ataleta maajabu makubwa ktk uongozi wa CHADEMA.
Lissu ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine wa Tanzania au Afrika
Makundi ya kumuunga mkono na kumchawia
Maslahi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha...