Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi...
UWT ITILIMA: JUMUIYA YA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA ITILIMA (UWT); MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
Tarehe: 31 Januari 2025
Katika kuadhimisha miaka 48 tangu...
Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani.
Ninajiuliza hivi...
Kumeibuka kundi la Watanzania ambao wanakerwa sana na Watanzania wenzao wanaomkubali Kagame. Hili kundi lililojivisha kilemba cha uzalendo wanawachukulia Watanzania wenzao wasiomchukia Kagame kama...
Halo JF siasa.
Niende madani hapo juu.
Ktk kipindi cha mwaka 2013 hadi 2015 kulikuwa na mgogoro wa kibinafsi na baadae kiinchi kati ya wababe Rais Kikwete na kagame wa Rwanda. Kiini cha mgogoro...
Waungwana kaka yenu nakaribia kurudi nyumbani baada ya kuishi hapa DRC kwa Takriban miaka 2.
Katika kipindi chote nilichokaa hapa nimejifunza mengi sana ila leo nitazungumzia kuhusu hawa...
Sisi kama watanzania tunataka uwazi na haki itendeke wakati wote wa kupiga kura, kutangaza matokeo, na kutangaza mshindi wa uchaguzi wa diwani, mbunge na rais kwa uchunguzi wa 2025.
Japo mifumo...
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Mufindi umeiomba Jamii kuwa na mioyo ya upendo na huruma kwa waishio katika mazingira magumu kwenye maeneo wanayoishi.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti...
Huwa kuna kauli zinasemwa au zinaandikwa kwamba "...arudi kwao Rwanda au Burundi", "huyo atakuwa Mtusi", "Watanzania hatuko hivyo" n.k
Kwa nini inadhaniwa watu wa Rwanda na Burundi kuwa wana...
Nakumbuka pale Nzega Dr Kigwangalla alipitishwa Kwa kigezo cha kuwa na mvuto zaidi kuliko Lucas Selelii aliyeshinda
Wakati Ule Katibu mkuu alikuwa Mzee Makamba
Sidhani kama kigezo cha MVUTO...
Ndugu zanguni hasa Watanzania,
Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC. Nimekuwa...
Hii sasa ni 20/1/2025 siku moja kuelekea uchaguzi mkuu.
Kwamba mwamba angali kakomaa, hasikii wala haoni miito yote iliyotolewa.
Kwamba imekuwa ni kumpigia mbuzi gitaa.
Kwamba alipo ni heri...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo...
Hii ni mifano halisi kwa malipo ya serikali bila risiti:
1. Huduma za afya hospitali ya wilaya Sengerema.
2. Kupita juu ya daraja la Busisi ili kuepuka adha ya ferry hasa nyakati za usiku...
Huyu kiongozi mkuu mstaafu wa ACT wazalendo mzaliwa wa kigoma, Mwami Zitto Kabwe ukifuatilia tweets zake zote ni anasapoti kile wanachokifanya Rwanda kupitia M23 nchini Congo.
Anajaribu kuleta...
Habari.
Inaelekea miaka miwili sasa tangu ndugu yetu na mwanasheria aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania alipolitisha taifa kwamba kama likithubutu kubadili sheria na mikataba ya madini basi...
Nchi nyingi za Dunia ya Tatu, hasa barani Afrika, zimekuwa zikidai kuwa zinatumia mfumo wa kidemokrasia, lakini kiuhalisia demokrasia yao ni ya kivuli tu. Wananchi wanaambiwa kuwa wana uhuru wa...
Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa
Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya...
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila amesema hatakuwa tayari kuona wananchi wanaonewa kwa mambo mbalimbali kama kutozwa kodi na kukamatwa na...