Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mama wakati uko bize kujiandaa na mkutano wa Nishati Chalamila amemdihaki na kumdharau mwanamke wa Tanzania. Mama wewe ni mwanamke, ulipata mimba, ulipata...
20 Reactions
56 Replies
2K Views
Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa...
3 Reactions
25 Replies
754 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, masijala kuu jijini Dar Es Salaam imegiza shauri la mwanasiasa Mkongwe Nchini Dkt. Wilbroad Slaa lirejeshwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya...
5 Reactions
104 Replies
4K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu. Mpina ametoa kauli hiyo...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Mambo yanazidi kua ya moto. Watu wanajiuliza jamaa anapata wapi Hela namna hiii za kumwaga pale Klabuni?.
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Wito wa Ado Shaibu wa kuwekwa wazi kwa ripoti ya mauaji ya Mzee Ali Kibao unapaswa kuchambuliwa kwa kina, hasa kwa kuzingatia dhamira ya kweli ya haki na uwajibikaji. Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 4 January 31, 2025 https://www.youtube.com/live/WS3Y4IN-B38?si=uJfr1uzwu_N9XPnM Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13...
0 Reactions
3 Replies
224 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji...
0 Reactions
23 Replies
821 Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, Felix Liata, ameendelea kusisitiza msimamo wa chama hicho wa kutoshiriki uchaguzi bila kufanyika kwa mageuzi...
1 Reactions
4 Replies
243 Views
1. Katiba hii imewapa nguvu Wanasiasa na Wateuliwa wao kuamua chochote bila kuhojiwa na kuwajibika kwa yeyote. Hili linawawezesha CCM kutumia fedha za Umma kwa shughuli zao bila kuhojiwa na...
0 Reactions
8 Replies
397 Views
Siasa za Tanzania. DC wa Muheza, Bi Zainab akiwa amempigia magoti waziri wa maji Jumaa Aweso kuomba maji wilayani Muheza. Accountability imefikia huku
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025 Mgeni Rasmi ni...
0 Reactions
4 Replies
351 Views
Tangu mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziungane, ni Salim Ahmed Salim tu aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Zaidi ya Salim Ahmed Salim hakuna mzanzibari mwingine aliyewahi kuwa Waziri Mkuu...
2 Reactions
34 Replies
831 Views
Kwa kweli inashangaza jinsi CCM ilivyogeuka na kuwa chama kisichojali habari za wananchi. Inashangaza nchi hii ina Rais mwanamke, ina Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) ina jumuia ya wazazi lakini...
0 Reactions
9 Replies
334 Views
Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 3 Januari 30, 2025 https://www.youtube.com/live/l64PMMDmFb8?si=-abEAlHFt1w5glLx
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Dar es Salaam. Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametaja majina 11 ya wanachama wa CCM wanaofaa kuwania urais kurithi kiti cha baba yake, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake mwakani...
1 Reactions
86 Replies
34K Views
Ili uelewe vizuri iangalie ACT Wazalendo inayounda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina Wanachama wangapi na vitega Uchumi gani? Ukubwa wa Chama Cha siasa ni Hazina ya Fikra vichwani mwa Viongozi...
0 Reactions
5 Replies
273 Views
Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za...
4 Reactions
60 Replies
1K Views
Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko. Pia Wasira hamungunyi...
0 Reactions
25 Replies
911 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…