Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu...
Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa...
Afadhali Mzee Wassira yeye hakuwepo kabisa ofisi za CCM hivyo ni mtu mpya
Sasa utakuta mtu alikuwa Makamu Mwenyekiti Kwa mfano sasa Cheo kimepanda Kawa Mwenyekiti kamili na yeye anaenda kuripoti...
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) taifa limeeleza masikitiko yake makubwa juu ya kauli iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, aliyesema kuwa, “Wajawazito wasiotaka...
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.
Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ipo katika hatua kadhaa mbele kwenye masuala ya nishati ya umeme kwani mpaka sasa vijiji vyote vimefikiwa na huduma ya...
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025.
Mkutano...
Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu,
Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel...
Hilo ndilo swali la msingi
1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania
2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi...
Kwa ufupi
Mdogo wake na mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la ufufuo na uzima, amesema mchungaji huyo anatakiwa aache kutumika na kuhoji kuna nani nyuma yake. Amedai mchungaji hawezi kujiingiza...
Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya...
Mkutano wa nishati uliowashirikisha wakuu wa nchi za Afrika unamalizika leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huu muhimu kabisa kwa Tanzania na bara zima la Afrika wenye malengo ya kuwezesha waafrika...
Mkutano wa Nishati Afrika: Kuwapatia Umeme Watu Milioni 300 ifikapo 2030
Mkutano wa Nishati Afrika ni tukio la kihistoria lililowakutanisha viongozi wa kimataifa, watunga sera, na washirika wa...
Haya mambo ya kiwaki hawapaswi kuchukuliwa poa wazee. Mtu Gani anatukana wananchi ambao wanalipa Kodi na ndiyo nguzo ya taifa lolote. Hivi huyu chalamila anavuta bangi? Au ana matatizo Gani ya...
Demokrasia Marekani kubwa sababu wanasiasa wana shughuli za kuwaingizia vipato vya kutosha nje ya siasa tofauti na Tanzania
Kwa Tanzania ukianzia upinzani hadi Chama tawala wengi waganga njaa...
Ndugu zangu ,Watanganyika, kuna hali inayoleta maswali mengi kuhusu matumizi ya muda na fedha zetu.
Siku hizi, tunaona watu wengi wakijitokeza kusherehekea "birthday" ya Saa100, lakini ni muhimu...
Jamani CCM ifike pahala muwe na huruma na nchi hii hata kama mna mpango wa kutawala milele. Itafika kipindi jamii ya nchi hii iwe kama jamii ya mazombi, maana hawa mazezeta mnaowaandaa ndio...
Kwa namna Shujaa Magufuli alivyotuandaa Kupambana katika Mazingira magumu ya Africa kutengwa na Wazungu huyu Trump na mikwara yake tutakabiliana naye kiulalo ulalo 🐼
Trump anafuta mikataba ya...
Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule.
Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au...